James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Vp kuhusu jua?maana naskia itafanya exploration kuhusu jua ila sijajua itakuwa kwa umbali gan ili kufanya huo uchunguz
 
Vp kuhusu jua?maana naskia itafanya exploration kuhusu jua ila sijajua itakuwa kwa umbali gan ili kufanya huo uchunguz
Hapana JWST haina chochote cha kufanya na jua.
Lengo la kwenda kukaa mile 1.5 million ni ili pia liwe mbali na mwanga wa jua.
Mwanga wa jua ⛅ unazuia kuona anga vizuri.

Jua liko karibu sana na dunia 150 km tu.tunaweza kujifunza kuhusu jua tukiwa hapahapa duniani.
 
Ila hakuna tafit nying zilizofanywa kulihusu..nyingu huwa ni kweny planets tu na hizo galaxies
 
Hili Jua unaloliona ni sehemu ndogo sana ya galaxy ya Milkway. Inakadiriwa kuna zaidi ya nyota billion 100 kwenye hii galaxy pekee.
Ila hakuna tafit nying zilizofanywa kulihusu..nyingu huwa ni kweny planets tu na hizo galaxies
 
Ila hakuna tafit nying zilizofanywa kulihusu..nyingu huwa ni kweny planets tu na hizo galaxies

Kaka tafiti zipo nyingi kuhusu jua letu.
Solar parker mission ni moja wapo ya mission za kulifahamu jua kwa ukaribu zaidi.
Tena hii project ni ya kibabe sana NASA ilituma chombo kinachoenda kuligusa jua.
Hebu search sun exploration mission katika google utashangaa sana kukuta mission za jua ziko za kutosha tu.
 
Specifically speaking, the big bang na Black hole na exterestial lives zimo ndani ya Qur'an tukufu.
Umechanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Quran haijui chochote zaidi ya kuchochea mauaji na kuchukua watu utumwani.. Kama ilivyo Biblia kazi yao kubwa ni kutesa na kutisha binadamu
 
Mtu mwenyeakili na anayetaka kujua angeuliza; Ni wapi mambo hayo yanapatikana ndani ya Qur'an??!--- wewe unaonekana ni mzinzi na kwakuwa Qur'an inapinga uzinzi umeamua kuichukia "for all".
 
Hawa wavaa kubazii ni changamoto sana...yaan wamechafua uzi kwa kuanza kujajidi aya zao ambazo mostly ni myth tu
Ni fedhea sana.. Wanasubiri wanasayansi wagundue wadandie. Allah mbona hakusema uwepo wa atom au cell ila wakigundua wanasayansi utawaona hao ni aya zao za utapeli
 
Mtu mwenyeakili na anayetaka kujua angeuliza; Ni wapi mambo hayo yanapatikana ndani ya Qur'an??!--- wewe unaonekana ni mzinzi na kwakuwa Qur'an inapinga uzinzi umeamua kuichukia "for all".
Siwezi amini vitabu vya uongo kama Quran na Biblia kama njia za kupata maarifa.
 
Mkuu hii JWT inaweza kuona ndani ya black holes kuna nini
Anyway naomba nimsaidie kujaribu kukujibu.
Black holes huwa hazipitishi mwanga wa aina yoyote isipokuwa zinaufyonza tu na ndiyo maana huwa zinaonekana kuwa ziko black. Infra red (IR) ni sehemu ya mwanga kwenye LIGHT SPECRTUM, na ultra violet (UV) nayo pia ni sehemu nyingine tena kwenye LIGHT SPECRTUM. Kwa hiyo UV na IR zote ni mojawapo ya sehemu nyingi zinazounda LIGHT SPECRTUM moja, na hivyo zinaunda mwanga kwa ujumla wake. Kwa hiyo haijalishi ni kwenye sehemu gani ya LIGHT SPECTRUM chombo cha kitaalamu kina-operate, hakuna namna ambayo chombo hicho kinaweza kupiga picha au kuona kikiwa ndani ya black hole
mike2k
 
Umeuliza swali la maana sana kwa sababu Telescope hii inatumia infra-red light. Naomba uni-tag kwenye post ambayo amekujibu, kama alikujibu
cc: mike2k
Haiwezi ona ndani ya black hole [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]even the light can not escape black hole. Wanasema ukiwa kwenye event horizon ya black hole you will observe the entire time of the universe.
 
Specifically speaking, the big bang na Black hole na exterestial lives zimo ndani ya Qur'an tukufu.
Yah, quran ina kila kitu unachotaka iwe nacho.. Cha muhimu ujue tu kubadili maana za kiarabu ziedane na unachotaka wewe
 
Back
Top Bottom