James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

Kama Allah kasema, je Allah anaweza kusema uongo??,
(Allah apishe mbali) ---Allah hawezi kusema uongo kwamba Mitume watakuja kutusomea/kitufundisha Qur'an ukishatambua hilo sasa ni wajibu wako kumtafuta huyo mtume hivi sasa ambaye amejitangaza kwamba ni yeye katumwa na Allah ili kufundisha watu aya za Quran, na kamwe huwezi kumpata isipokuwa ni Hafhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ndiye aliyetangaza kutumwa na Allah (sawt) na Allah akamuagiza aunde jumuiya ya kiisilamu ili watu wajiunge humo ili kujifunza uisilamu safi uisilamu aliouacha mtukufu mtume Muhammad (saw), hivyo ni ndani ya jumuiyya ya Waisilamu wa Ahmadiyya ndimo utakuta mafundisho sahihi ya dini ya kiisilamu na hiyo ndio maana ya yeye Hadhrat Ahmad (as) kufundisha Uisilamu vinginevyo hii leo hakuna mtume aliyekuwepo hai akifundisha Qur'an jinsi wewe unavyotaka ama kama Allah akipenda anaweza kuleta mtume wakati wowote anapoona inafaa lakini itoshe kusema kwamba ni Hadhrat Ahmad (as) ndiye mtume aliyeanzisha jumuiya hii ili kufundisha uisilamu safi.
Sasa huyo Ghulam ameshakufa. Allah amesema wa kutufundisha Quran ni mitume tu...Sasa sisi tufanyeje??? Twende kaburini kwa Ghulam tumfufue atufundishe??? Au Allah ameshaleta mtume mwingine aliye hai atufundishe Quran?? Kwa maana hao makhalifa wa jumuiya wa ahmadiya sio mitume
 
Labda uniambie Allah hakusema kweli !! (Allah apishe mbali), lakini kama kasema kweli basi tumtafute mtu aliyedai utume na akadai kwamba ametumwa na Allah kufundisha aya za Qur'an na amefanya kila juhudi kuonyesha jinsi alivyofundisha hiyo Qur'an, tumtafute huyo mtu leo hii, huwezi kumpata isipokuwa ni Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ambaye ameandika vitabu 84 vyote hivyo vinahusu mafundisho ya Qur'an na dini ya Uisilamu kwa ujumla hivyo mafundisho yake yapo na kwakuwa yapo na yanafundishwa na Makhalifa wake basi hiyo ni sawa ukisema ni yeye anayetufundisha kupitia huyo khalifa, mfano ni sawa leo ukisoma Qur'an aya inayosema "Usikaribie zinaa" na ukasema kwamba Allah anatufundisha kupitia Mtukufu mtume Muhammad (saw) kwamba tusikaribie zinaa, je hapo kuna kosa??! kwasababu Allah haonekani na Mtume (saw) kishafariki lakini bado tunasema wao wanatufundisha kupitia Qur'an na ni hivyohivyo kwamba mafundisho sahihi ya Qur'an utayapata kupitia vitabu vya hadhrat Ahmad (as) kwa kusoma vitabu vyake na kumsikiliza khalifa wake hiyo ni sawa na yeye kutufundisha.
Leo, Ukisubiri ili umpate mtume aje akusomee aya za Qur'an utakesha kumtafuta na usimpate kwani tayari alikuja na akaanzisha jumuiya kwa amri ya Allah ambayo imekuwa ikifanya kazi hiyo hata leo hii, ni Jumuiyya ya Waisilamu wa Ahmadiyya iliyoanzishwa na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) mtume mfuasi wa mtukufu Mtume Muhammad (saw) ndiyo imekuwa ikifundisha Qur'an kwa usahihi.
 
Huyo mwalimu wako wa Quran anazungumziaje JAMES WEBB SPACE TELESCOPE?

Kwanini usianzishe thread kule jukwaa la dini uwafundishe wenye imani yako kuhusu masuala haya nyeti ya dini?
 
Huyo mwalimu wangu wa dini anasema; "Dini ni elimu ya kumjua Mungu na amri zake na sayansi ni elimu ya kujua maumbile aliyoumba
Mungu, Elimu ya dini na elimu ya sayansi huwezi kuzitenganisha kwasababu elimu zote hizo mbili zinatoka kwa Mungu". Ni kutokana na kauli hiyo ya huyo "Mwalimu" wangu ndipo hata mimi najifunza na kuheshimu elimu ya sayansi na pia ni kutokana na hiyo kauli ndipo Jumuiyya ya waisilamu wa Ahmadiyya imeweza kutoa wanasayansi mashuhuri katika level ya dunia na mmojawapo ni Prof Abdus salam, Nobel Laureate in Physics.

Uisilamu unasisitiza juu ya elimu zote za dini na elimu za kidunia hususan "natural sciences", na neno "ilm" (elimu) kwa kiarabu msingi wake ni "elimu ya sayansi".
 
Labda uniambie Allah hakusema kweli !! (Allah apishe mbali), lakini kama kasema kweli basi tumtafute mtu aliyedai utume na akadai kwamba ametumwa na Allah kufundisha aya za Qur'an na amefanya kila juhudi kuonyesha jinsi alivyofundisha hiyo Qur'an, tumtafute huyo mtu leo hii, huwezi kumpata isipokuwa ni Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) ambaye ameandika vitabu 84 vyote hivyo vinahusu mafundisho ya Qur'an na dini ya Uisilamu kwa ujumla hivyo mafundisho yake yapo na kwakuwa yapo na yanafundishwa na Makhalifa wake basi hiyo ni sawa ukisema ni yeye anayetufundisha kupitia huyo khalifa, mfano ni sawa leo ukisoma Qur'an aya inayosema "Usikaribie zinaa" na ukasema kwamba Allah anatufundisha kupitia Mtukufu mtume Muhammad (saw) kwamba tusikaribie zinaa, je hapo kuna kosa??! kwasababu Allah haonekani na Mtume (saw) kishafariki lakini bado tunasema wao wanatufundisha kupitia Qur'an na ni hivyohivyo kwamba mafundisho sahihi ya Qur'an utayapata kupitia vitabu vya hadhrat Ahmad (as) kwa kusoma vitabu vyake na kumsikiliza khalifa wake hiyo ni sawa na yeye kutufundisha.
Leo, Ukisubiri ili umpate mtume aje akusomee aya za Qur'an utakesha kumtafuta na usimpate kwani tayari alikuja na akaanzisha jumuiya kwa amri ya Allah ambayo imekuwa ikifanya kazi hiyo hata leo hii, ni Jumuiyya ya Waisilamu wa Ahmadiyya iliyoanzishwa na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) mtume mfuasi wa mtukufu Mtume Muhammad (saw) ndiyo imekuwa ikifundisha Qur'an kwa usahihi.
Kwahyo kama ni hivyo....Mbona mtume Muhamad kaacha quran lakini mashehe wanachanganyana kuitafsiri?? Wewe umesema tusiwafuate mashehe maana wao sio mitume...Sasa Je huyo ghulam hao makhalifa wake wana tofauti gani na mashehe? hawawezi kuchanganya mambo?? Au na wao ni mitume??
 
Em nakuomba urudie tena kusoma swali langu ulielewe ndiyo unijibu,,,,maana naona unajibu vitu irrelevant

"Ulamaahum sharru maa tahta adyimi alsamaai, min indihim takrujulfitna wa fiihim taaud"--- yaani Maulamaa/masheikh wao watakuwa wagomvi chini ya mbingu kwao zitaanza fitna.na kwao zitawarejea.

Hayo ni maneno ya Mtukufu mtume Muhammad (saw) akiwasema hao Masheikh unaotaka tuwafuate.

Mtume Muhammad (saw) kamtabiri mtu atakayekuja kufundisha imani ya dini ya Uisilamu na Hadhrat Ahmad (as) yeye ndiye alikuja na akatangaza kwa amri ya Mungu kwamba yeye ndiye mtu yule na Mungu akamuambia aanzishe jumuiyya ya kiisilamu itakayo fundisha watu dini sahihi ya Uisilamu dini ile aliyoifundisha Mtukufu mtume (saw) hivyo ili kupata mafundisho sahihi ya dini ya Uisilamu inatakiwa mtu ajiunge na jumuiya hii ya kiisilamu.

With all that said, still can't you connect the dots??!😏
 
James imetuma picha za sayari mpya mbona huweki update?
 
Acha kutuchafulia uzi na porojo zako,

Back
Top Bottom