PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Hongereni wana msimbazi kwa ushindi mnono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ndo anaitafuta chalinzeNaomba unisaidie kumtafuta yule mkuu aliesema simba wakishinda atatembea uchi from moro to dar simuoni au anatekeleza ahadi yake[emoji3] [emoji3]
[emoji1] [emoji1]Nasikia ndo anaitafuta chalinze
Na timu yetu.Hakuna Jinsi, Msimu Wetu Huu
Na timu yetu!Hakuna Jinsi, Msimu Wetu Huu
Hahahaaa. [emoji85] [emoji85]Hamkosi Maneno
Naona Dua Yako Mola Kaipokea Aksante Mtani
Hahaaa. Haya bana Mkuu.Siwezi Kuwa Na Hofu Kwani Nilikuwa Ninajiamini Kuwa Mtu Hatongozi Mkewe 😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nampokelea badala yake Mtani.Ushindi ni jadi yetu. This is Simba, emmtya upo wapi mtani?
We mtoto upo kwenye soka kumbeEwaaaaaaa.
Hahahaaa. Ndio nipo Mkuu.We mtoto upo kwenye soka kumbe
Hamia simba wewe,Hahaaa. Nilijiandaa kisaikolojia ile mechi ya round ya kwanza ila round hii hapana aisee.
Ni mwendo wa Mnyama kufa tu Sesten.
Hahahaaa. Nilishashindwa aisee. Sababu nina watu wangu wa karibu walisha nishawishi mpaka wakachoka.Hamia simba wewe,