Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Mh! wewe wakuchana baada ya mm maana game 0-1Hahaaa. Mie nimebet 1 -1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! wewe wakuchana baada ya mm maana game 0-1Hahaaa. Mie nimebet 1 -1
Hahaaaaa. Sawa Mtani. Hongera zako.Yanga Sasa Msome Namba Yaaani.
Ubingwa kwa Simba Mwaka huu hii timu Ndo Nilokuwa Nahofia.
Imewatoa kijasho eee. Yaani hamuamini bado. Lol.Ila Mtibwa Timu Dah!!!
Yanga Jiandaeni
Hakuna Wakutuzuia
Nakutamaniii yaaniHahaaaaa. Sawa Mtani. Hongera zako.
Kila la kheri hivyo hata sie hamtuhofiii?
Mnyama haogopi kitu lete hao chura anameza tuuImewatoa kamasi eee. Yaani hamuamini bado. Lol.
Poleni aisee.
Tuombe uzima Insha Allah.Nakutamaniii yaani
Kila la kheri mtibwa sukari
Hahaaaa. Ila pole kwa presha uliyokuwa nayo Mkuu.Mnyama haogopi kitu lete hao chura anameza tuu
Hahahahah Tatu Muhimu Ndo tulizozihitajiImewatoa kijasho eee. Yaani hamuamini bado. Lol.
Poleni aisee.
Hahahaaaa. Sawa mtani.Hahahahah Tatu Muhimu Ndo tulizozihitaji
Leo Simba atalishwa miwa mpaka awe sukari
Na cha mtibwa je?
kila laheri wakata miwa.kila la heri tobiasi kifaru.
Kuna yule Alosema Anatembea tupu Mpka Ubungo Sijuhi Kafika Wapi Mpka Sa HiiHahahaaaa. Sawa mtani.
Upumue sasa rafiki maana sio kwa wasiwasi uliokuwa nao leo. [emoji12] [emoji12]