Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

King Ngwaba unanifanya nicheke kwa sauti huku niliko lol.

Yaani umesubiri hadi mpira umeisha lol. Haya bwana Mtani.

Uwanja ni wako sasa.

Ndiyo Kawaida Ya Mtumzima Huwaacha Watoto Watangulie Kudokowa Vikiwa Jikoni Yeye Anakula Mwisho 😀😀😀
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji125]
 
Jamani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kwa Hisani Yenu Naomba Muniletee Msimamo Wa Ligi ([HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Table) Hapa 😀😀
 
Jamani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kwa Hisani Yenu Naomba Muniletee Msimamo Wa Ligi ([HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Table) Hapa 😀😀
FB_IMG_15232875043354245.jpg
 
Back
Top Bottom