Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Ukute ana familia...halafu anataka kutembea uchi mchana watoto hawajalala
 
Kocha alikosea sana katika Sub aliyoifanya kwenye mechi Simba na Mtibwa ya kumtoa Gyan na kumwingiza Niyonzima ambaye hawezi kukaba kabisa.
Gyan anakaba na anapandisha timu kwani ana nguvu, hatakiwi kufanyiwa Sub kwenye mechi ya ushindani na ya kutumia nguvu.
 
Manunuzi FC aka Mikia FC aka FIFA FC aka Mezani FC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…