Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Hahahaaa. Nilishashindwa aisee. Sababu nina watu wangu wa karibu walisha nishawishi mpaka wakachoka.

Najikuta tu naipenda Kijani na njano. Hahaaaa.
Unafeli ngoja nije Pokea Maombi (PM) tuongee kirefu
 
Kweli .. sub ilikuwa kwa ASANTE KWASI jamaa alichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…