Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Baada ya leo hatuachii point hata moja tena, mtakua mnafukuza upepo tuHahaaaa. Picha ipi Ses, yaani Point 03 ndio tuamini kwamba mshakuwa mabingwa jamaani. Wakati ligi bado.
Ila sio siri leo niko Ntibwa kabisaaa mieeeee.
Tarehe 29 pia?Baada ya leo hatuachii point hata moja tena, mtakua mnafukuza upepo tu
Hahahahaaa dua la kuku hilo banaWacha kabisa na dua zangu zote leo ni kwa Ntibwa. Hahahaaaaa.
Hahaaa. Lol.Wao wakicheza na yanga huwa wanabana sana kuliko na simba
Azam Wananizingua Kwenye Simu Nimeamua Kuamia Kwa Kashasha Nawasikiliza Wao Tuuh Wakiongopa Mi Nipo TuuIla beki kasukumwa Mtani. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakwambia leo linaweza Mpata Mwewe. [emoji2] [emoji2]Hahahahaaa dua la kuku hilo bana
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Basi uko upande wa mabingwa, karibu sana
Hahahaa. Pole Mtani mie nimeona na marudio pia. Adebayo alimsukuma beki wa Mtibwa.Azam Wananizingua Kwenye Simu Nimeamua Kuamia Kwa Kashasha Nawasikiliza Wao Tuuh Wakiongopa Mi Nipo Tuu
Sijui ilikuaje ukajikuta upo Jangwani HajarHahahaaaa. Hata wewe Sesten.
Mikia wanaongoza kwa goli moja Mkuu.Score board inasomekaje mpaka sasa?
Hahahaaa, ndio tunatangazia ubingwa kwenu siku hiyo, jiandae kisaikolojiaTarehe 29 pia?
Dingi huyo. Huwezi amini Mama yangu yupo simba tena ile Simba Damu.Sijui ilikuaje ukajikuta upo Jangwani Hajar
Hahaaa. Nilijiandaa kisaikolojia ile mechi ya round ya kwanza ila round hii hapana aisee.Hahahaaa, ndio tunatangazia ubingwa kwenu siku hiyo, jiandae kisaikolojia
Hahahaaa hapa napiga dua kwa wingiWacha weee. Kama nakuona vile unavyotamani mpira uishe. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Jitahidi tu sababu sio kwa Mtibwa ninayoiona hapa. Mkiambulia sana sare huo ushindi nitaamini game ikiisha. [emoji85]Hahahaaa hapa napiga dua kwa wingi
Kwahiyo Maza wako anawacheka tu saa hizi wee na Dingi, hahahaaaDingi huyo. Huwezi amini Mama yangu yupo simba tena ile Simba Damu.
We ni mtulinga?Mtibwa sukari piga hao mikia fc 2