Jamhuri, Morogoro: Mtibwa FC 0 -1 Simba SC, Ligi Kuu Soka Tanzania Bara

Yanga Sasa Msome Namba Yaaani.

Ubingwa kwa Simba Mwaka huu hii timu Ndo Nilokuwa Nahofia.
 
Ila Mtibwa Timu Dah!!!

Yanga Jiandaeni

Hakuna Wakutuzuia
 
King Ngwaba unanifanya nicheke kwa sauti huku niliko lol.

Yaani umesubiri hadi mpira umeisha lol. Haya bwana Mtani.

Uwanja ni wako sasa.
 
Tunamshukuru refa kwa kutokuona kuwa boko alishika makusudi.
 
Hahahaaaa. Sawa mtani.

Upumue sasa rafiki maana sio kwa wasiwasi uliokuwa nao leo. [emoji12] [emoji12]
Kuna yule Alosema Anatembea tupu Mpka Ubungo Sijuhi Kafika Wapi Mpka Sa Hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…