Mnaanza Visaa JamniTunamshukuru refa kwa kutokuona kuwa boko alishika makusudi.
Hahahaa. Nimejikuta namuwaza hata mie.Kuna yule Alosema Anatembea tupu Mpka Ubungo Sijuhi Kafika Wapi Mpka Sa Hii
King Ngwaba unanifanya nicheke kwa sauti huku niliko lol.
Yaani umesubiri hadi mpira umeisha lol. Haya bwana Mtani.
Uwanja ni wako sasa.
Hahahaa. Hizo ni dalili za hofu lakini?[emoji12]Ndiyo Kawaida Ya Mtumzima Huwaacha Watoto Watangulie Kudokiwa Vikiwa Jikoni Yeye Anakula Mwisho 😀😀😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mnaanza Visaa Jamni
Hamkosi Maneno[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaa. Hizo ni dalili za hofu lakini?[emoji12]
Jamani [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Kwa Hisani Yenu Naomba Muniletee Msimamo Wa Ligi ([HASHTAG]#VPL[/HASHTAG] Table) Hapa 😀😀
Naomba unisaidie kumtafuta yule mkuu aliesema simba wakishinda atatembea uchi from moro to dar simuoni au anatekeleza ahadi yake[emoji3] [emoji3]Kiboko yaoooooooo View attachment 739322
Sio thread hii ni ile nyingine ndio amesemaNaomba unisaidie kumtafuta yule mkuu aliesema simba wakishinda atatembea uchi from moro to dar simuoni au anatekeleza ahadi yake[emoji3] [emoji3]
Upo vizuri khaaaaaNaomba unisaidie kumtafuta yule mkuu aliesema simba wakishinda atatembea uchi from moro to dar simuoni au anatekeleza ahadi yake[emoji3] [emoji3]
Namna tunavyowacheki wale wanaosema Okwi hafungi viwanja vya mikoani [emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 739381
Mtaa wa msimbazi yametawala matabasamu tu
Nataka nikamlaki halafu nawewe ulisema nani atashinda eti[emoji3]Upo vizuri khaaaaa