Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
🤣 Hakuna haja ya kupanic, Mtibwa sio wa kubeza ukizingatia wapo kwaoNaona kuna mwenzio ameshapanic utadhani mi nilikuwa refa. 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Hakuna haja ya kupanic, Mtibwa sio wa kubeza ukizingatia wapo kwaoNaona kuna mwenzio ameshapanic utadhani mi nilikuwa refa. 😂😂😂😂
Ila nadhani kesho ndo utakaa sana Mtani ili uone vile tutafanya.😂😂😂 humu nimepiga kambi leo na kesho 🤣
Yanga ndo zenu kufurahia sare, ziwe zenu au za wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi wenyewe game ya nne au ya tatu tunacheza nao huko kwao mlikocheza nao leo hivyo kazi tunayo pia.🤣 Hakuna haja ya kupanic, Mtibwa sio wa kubeza ukizingatia wapo kwao
Mi sichunguliagi, naingia mazimaKitambo nakuona unachungulia tu huu Uzi.
Mwambie na mwenzako aache kuchungulia aingie tu, hatumfanyi chochote, ndio mpira huo.
Mmeshasahau kelele zenu za juzi. Daaah. 🤔🤔Yanga ndo zenu kufurahia sare, ziwe zenu au za wengine 😂😂😂
Mtatoaje sare kwa Mkapa, pitch nzuri kabisa!Mmeshasahau kelele zenu za juzi. Daaah. 🤔🤔
Nyie Yanga naona mkiona sare yeyote tu lazima mfurahi[emoji23][emoji23]Yanga au Simba?
Mana mliona juzi tumefaiiidi. [emoji23][emoji23]
Hii msg iende kwa Troisième Ceil mana naye anachungulia tu saa hii.Kitambo nakuona unachungulia tu huu Uzi.
Mwambie na mwenzako aache kuchungulia aingie tu, hatumfanyi chochote, ndio mpira huo.
Nyie hamtotoka nao sare bali watawafungaSisi wenyewe game ya nne au ya tatu tunacheza nao huko kwao mlikocheza nao leo hivyo kazi tunayo pia.
Vyupi fc leo mumetulia.Nyie Yanga naona mkiona sare yeyote tu lazima mfurahi[emoji23][emoji23]
Sina shaka kuwa kesho draw ndio ushindi wenuTunazungumzia yaliyofanyia leo Mtani.
Kesho ikifika nayo tutaizungumzia pia.
Hata kesho nyie mtaufyataVyupi fc leo mumetulia.
mapungufu ya Simba ni kuwa waliiga mchezo wa Mtibwa tangu awali,Kocha bado hawajapata Xl nzuri anazingua,kwanza huu mpira wa pasi ndefu kama yanga simba wametoa wapi,si style yetu ya mchezo
Mmh. Hivyo nyie hamjawahi toa sare kwa Mkapa?Mtatoaje sare kwa Mkapa, pitch nzuri kabisa!
Tusubiri tuone Mtani.Sina shaka kuwa kesho draw ndio ushindi wenu