Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Kitambo nakuona unachungulia tu huu Uzi.
Mwambie na mwenzako aache kuchungulia aingie tu, hatumfanyi chochote, ndio mpira huo.
Yanga ndo zenu kufurahia sare, ziwe zenu au za wengine [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha bado hawajapata Xl nzuri anazingua,kwanza huu mpira wa pasi ndefu kama yanga simba wametoa wapi,si style yetu ya mchezo
 
Kocha bado hawajapata Xl nzuri anazingua,kwanza huu mpira wa pasi ndefu kama yanga simba wametoa wapi,si style yetu ya mchezo
mapungufu ya Simba ni kuwa waliiga mchezo wa Mtibwa tangu awali,

walipaswa kucheza game yao.
 
Timu inacheza na kushinda kwa uwezo wa wachezaji na si uwezo wa kocha ,huyu kocha ni useless kabisa,wachezaji bora tulio nao ndo wanasaidia timu ila sio huyu kishingo
 
Back
Top Bottom