Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Jamhuri Morogoro: Mtibwa vs Simba hakuna mbabe

Nilipinga pakubwa ujio wa bernard Morrison Klabuni kwetu, Ona sasa kinahotokea. Muda si mrefu atakuwa anazungumza lugha moja na Ajibu.
Huyu Bernad Morison wa Manara siyo yule wa Nugaz, kuna tofauti kubwa Sana. Tuliwaambia, mtamkataa tu.
 
Katika makosa ambayo Simba wanayotakiwa kuyafanyia marekebisho yapo mengi lakini mojawapo ya kosa ambalo limeigharimu Simba na kupoteza mechi ni kufanya faulo mazingira ambayo hayana sababu yakufanya faulo. Kwa mfano leo halukuwa na sababu ya mchezaji wa mtibwa kufanyiwa faulo maeneo Yale coz tayari alikua pembeni sana na uwanja na alkua ashazungukwa na wachezaji watatu na pia beki ilkua isharudi kukaba kwa hyo chance ya mchezaji huyo wa mtibwa kuwavuka hawa mabeki watatu na kuenda kusababisha madhara ilikua ndogo sana tofauti na kuwapa faulo. Mechi na Yanga ilituua faulo, mechi na udisongo tulikufa kwa faulo. Sikuzote timu kubwa huwa zinaumizwa na timu ndogo sana sana kwenye faulo na kona. N muhimu kocha akawaweka vzuri wachezaji wake kuepuka faulo zisizokuwa na sababu. Km faulo ya mzamiru leo ilkua ya kijinga sana
Hatuna kiungo mkabaji zaidi ya Fraga, Mzamiru na Mkude hawana kombinationi nzuri walitugharimu sana mechi ya mbilimbili na yanga ni heri wamchezeshe Nyoni kama kiungo mzuiaji kama Fraga hachezi
 
Unatuletea mambo yenu ya CCM na chadema hapa, pole sana inaonyesha umechanganyikiwa sana Senzo hawezi kuishi na mbumbumbu mana anajielewa sana yule jamaa
Binafsi sioni kama senzo alikua na impact yeyote pale.

Ningeumia endapo angesepa kahata na miquison maana hawa wanamchango mkubwa kwa timu kupata matokeo.

Sasa limendoka jitu lenye kitambi hata danadana halijui unafikiri nani anajali?
 
Hapana sikua na feli sana kama mipango ya yanga ilivyo feli tarehe 12 july mwaka huu pale kwa mkapa
Acha July, kuna August, September, October, November, December....
Ongezea mingine
 
Back
Top Bottom