Katika makosa ambayo Simba wanayotakiwa kuyafanyia marekebisho yapo mengi lakini mojawapo ya kosa ambalo limeigharimu Simba na kupoteza mechi ni kufanya faulo mazingira ambayo hayana sababu yakufanya faulo. Kwa mfano leo halukuwa na sababu ya mchezaji wa mtibwa kufanyiwa faulo maeneo Yale coz tayari alikua pembeni sana na uwanja na alkua ashazungukwa na wachezaji watatu na pia beki ilkua isharudi kukaba kwa hyo chance ya mchezaji huyo wa mtibwa kuwavuka hawa mabeki watatu na kuenda kusababisha madhara ilikua ndogo sana tofauti na kuwapa faulo. Mechi na Yanga ilituua faulo, mechi na udisongo tulikufa kwa faulo. Sikuzote timu kubwa huwa zinaumizwa na timu ndogo sana sana kwenye faulo na kona. N muhimu kocha akawaweka vzuri wachezaji wake kuepuka faulo zisizokuwa na sababu. Km faulo ya mzamiru leo ilkua ya kijinga sana