Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mbona unachuki sana na Mbowe?!🤣🤣Hiyo si ni faraja kwako ?,ili Mangi Mbowe aje uraiani kula ruzuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unachuki sana na Mbowe?!🤣🤣Hiyo si ni faraja kwako ?,ili Mangi Mbowe aje uraiani kula ruzuku
Umeshasema ww ni layman sasa hoja za kisheria utazijuaje!!Nimepitia maelezo yote ya Mawakili wa Jamhuri na Mawakili wa utetezi naishauri Serikali ilete Mawakili wenye uwezo kwenye kesi hii. Mimi ni layman katika sheria lakini kwa uelewa wangu Serikali ijipange sana.
Hilo ni swali la kijinga tu na wala halina mantiki yoyote na linaonyesha ulivyo mbumbumbu wa kuelewa.Sina shida na Winston Churchill au yeyote nauliza nyie Chadema wenye sera ya Elimu elimu elimu kwa nini mwenyekiti wa Chadema Taifa ni division zero secondary?
Duh! Kumbe Wasomi wetu mnakariri lugha ndiyo maana hamuwezi kuaamisha maada fulani kwenda lugha nyingine,mnakua kama mwanangu wa Darasa la pili B pale English medium,anajua kutaja wanyama wote kwa lugha ya kiingereza,lakini nikimwambia anitajie hao hao wanyama kwa lugha ya Kiswahili hawezi kabisa!! Kukariri Elimu siyo kitu kizuri,msomi ukisoma na kuielewa Elimu unakua na uwezo wa kuelezea Jambo hata kwa lugha yenu ya kikabila!!Wasome kwa kiingereza waje watumie kiswahili? Unashida sehemu kama Jiwe na ndiyo maana hata umeomba afufuke, ndege wafananao.........pamoja.
Learned Counsel or Advocate of the High Courtsorry is it learned council or legal council