Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Umekosea linaandikwa JamhuriEti wakuu. Tunaposema jumuhuri ya muungano wa Tanzania tunamaanisha nini? Jamuhuri inamaanisha nini? Ina sifa gani? Mbali na jamuhuri, kuna vitu gani vingine? Natanguliza shukrani.
Sijawahi sikia jamhuri ya watu wa marekani au jamhuri ya watu wa uingereza unataka kusema hawana mamlaka kamili?Umekosea linaandikwa Jamhuri
Maana yake nchi inakuwa na madaraka na mamlaka kamili,
Mfano mwaka 1961 Tanganyika ilipata Uhuru ,lakini haikuwa na madaraka ya kujitawala ndani na kimataifa,mwaka 1962 Tanganyika ikawa Jamhuri ikimaanisha mamlaka ya kiutawala ndani na kimataifa wakakabidhiwa watanganyika,ile 1961 Tanganyika ilikuwa huru lakini bado mamlaka ya Tanganyika kimataifa yalikuwa kwa malkia wa uingereza
Sio kila nchi yenye mamlaka kamili ni jamhuri,uingereza sio jamhuri.Umekosea linaandikwa Jamhuri
Maana yake nchi inakuwa na madaraka na mamlaka kamili,
Mfano mwaka 1961 Tanganyika ilipata Uhuru ,lakini haikuwa na madaraka ya kujitawala ndani na kimataifa,mwaka 1962 Tanganyika ikawa Jamhuri ikimaanisha mamlaka ya kiutawala ndani na kimataifa wakakabidhiwa watanganyika,ile 1961 Tanganyika ilikuwa huru lakini bado mamlaka ya Tanganyika kimataifa yalikuwa kwa malkia wa uingereza
Mdau ameuliza swali toa jibu,na kama ungeona sipo correct basi unacoat kwamba hii na hii haipo sawaSijawahi sikia jamhuri ya watu wa marekani au jamhuri ya watu wa uingereza unataka kusema hawana mamlaka kamili?
sovereignty ni kitu gani? Kinatofauti na uliyo yaeleza hapo juu?
Civics ya form one.Mdau ameuliza swali toa jibu,na kama ungeona sipo correct basi unacoat kwamba hii na hii haipo sawa
Nimekuchallenji ili twende kwa upana zaidi usipanicMdau ameuliza swali toa jibu,na kama ungeona sipo correct basi unacoat kwamba hii na hii haipo sawa
Mimi si mleta mada? Na sijui kama hayo ndo majibu kwa muuliza swali ,tatizo humu mnajifanya mnajua sana kumbe hollaCivics ya form one.
Types of government
Vitu vingine unagoogle tu
Unachallenge na kutoa solution siyo kuchallenge halafu unakausha wew ndo utaonekana hujuiNimekuchallenji ili twende kwa upana zaidi usipanic
Hakuna mahala nimesema hujui bibie nimeuliza tu na ulipaswa unijibuUnachallenge na kutoa solution siyo kuchallenge halafu unakausha wew ndo utaonekana hujui
North Korea nayo inajiita jamhuri lakini haiongozwi na Rais.Nchi kuwa jamhuri kuwa inaongozwa na Rais mfano Tanganyika ilikuwa Jamhuri mwaka 1962 .kabla ya hapo Mwl Jk Nyerere alikuwa waziri mkuu. Kwa ninavyoelewa.
Mbona wa-Marekani hawajiiti jamhuriUmekosea linaandikwa Jamhuri
Maana yake nchi inakuwa na madaraka na mamlaka kamili,
Mfano mwaka 1961 Tanganyika ilipata Uhuru ,lakini haikuwa na madaraka ya kujitawala ndani na kimataifa,mwaka 1962 Tanganyika ikawa Jamhuri ikimaanisha mamlaka ya kiutawala ndani na kimataifa wakakabidhiwa watanganyika,ile 1961 Tanganyika ilikuwa huru lakini bado mamlaka ya Tanganyika kimataifa yalikuwa kwa malkia wa uingereza
Hizi nchi nyingi zinaamua kuwa Republic. Kwa nini?View attachment 2285768
Japo kamusi inashindwa kutoa majibu kwanini nchi nyingine hazijiiti republic.. Kwa mfano republic of jamaicaView attachment 2285770
Marekani wanajiita democratic republic. Hata walioiunda waliunda wakisema ni jamhuri.Mbona wa-Marekani hawajiiti jamhuri
¿¿North Korea nayo inajiita jamhuri lakini haiongozwi na Rais.