Jamhuri ni kitu gani?

Jamhuri ni kitu gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Eti wakuu.

Tunaposema jumuhuri ya Muungano wa Tanzania tunamaanisha nini?

Jamhuri inamaanisha nini?
Ina sifa gani?
Mbali na jamhuri, kuna vitu gani vingine?

Natanguliza shukrani.
 
Eti wakuu. Tunaposema jumuhuri ya muungano wa Tanzania tunamaanisha nini? Jamuhuri inamaanisha nini? Ina sifa gani? Mbali na jamuhuri, kuna vitu gani vingine? Natanguliza shukrani.
Umekosea linaandikwa Jamhuri

Maana yake nchi inakuwa na madaraka na mamlaka kamili,

Mfano mwaka 1961 Tanganyika ilipata Uhuru ,lakini haikuwa na madaraka ya kujitawala ndani na kimataifa,mwaka 1962 Tanganyika ikawa Jamhuri ikimaanisha mamlaka ya kiutawala ndani na kimataifa wakakabidhiwa watanganyika,ile 1961 Tanganyika ilikuwa huru lakini bado mamlaka ya Tanganyika kimataifa yalikuwa kwa malkia wa uingereza
 
Sijawahi sikia jamhuri ya watu wa marekani au jamhuri ya watu wa uingereza unataka kusema hawana mamlaka kamili?

sovereignty ni kitu gani? Kinatofauti na uliyo yaeleza hapo juu?​

Sio kila nchi yenye mamlaka kamili ni jamhuri,uingereza sio jamhuri.
 
Sijawahi sikia jamhuri ya watu wa marekani au jamhuri ya watu wa uingereza unataka kusema hawana mamlaka kamili?

sovereignty ni kitu gani? Kinatofauti na uliyo yaeleza hapo juu?​

Mdau ameuliza swali toa jibu,na kama ungeona sipo correct basi unacoat kwamba hii na hii haipo sawa
 
Civics ya form one.
Types of government
Vitu vingine unagoogle tu
Mimi si mleta mada? Na sijui kama hayo ndo majibu kwa muuliza swali ,tatizo humu mnajifanya mnajua sana kumbe holla
 
Nchi kuwa jamhuri kuwa inaongozwa na Rais mfano Tanganyika ilikuwa Jamhuri mwaka 1962 .kabla ya hapo Mwl Jk Nyerere alikuwa waziri mkuu. Kwa ninavyoelewa.
 
North Korea nayo inajiita jamhuri lakini haiongozwi na Rais.
 
Screenshot_20220709-222035.png

Japo kamusi inashindwa kutoa majibu kwanini nchi nyingine hazijiiti republic.. Kwa mfano republic of jamaica
Screenshot_20220709-222327.png
 
Naamini Jamuhuri ni nchi zinazo fuata presidential system... sovereign ni linguvu furani serikali iko nalo...
Ila kwa Tanzania sovereign humaanisha hivi
download (36).jpeg

Hii ni chombo ya Muskat imetoka kwa sultani. Yeyote atakae maisha na anywe
 
Umekosea linaandikwa Jamhuri

Maana yake nchi inakuwa na madaraka na mamlaka kamili,

Mfano mwaka 1961 Tanganyika ilipata Uhuru ,lakini haikuwa na madaraka ya kujitawala ndani na kimataifa,mwaka 1962 Tanganyika ikawa Jamhuri ikimaanisha mamlaka ya kiutawala ndani na kimataifa wakakabidhiwa watanganyika,ile 1961 Tanganyika ilikuwa huru lakini bado mamlaka ya Tanganyika kimataifa yalikuwa kwa malkia wa uingereza
Mbona wa-Marekani hawajiiti jamhuri
 
View attachment 2285768
Japo kamusi inashindwa kutoa majibu kwanini nchi nyingine hazijiiti republic.. Kwa mfano republic of jamaicaView attachment 2285770
Hizi nchi nyingi zinaamua kuwa Republic. Kwa nini?
Tanganyika ilipopata Uhuru,ilipata Uhuru ikawa kama Jamaica,bado inaongozwa na Queen.
Tanganyika ilipokuwa Jamhuri kila mtu alielewa jambo gani limetokea pale? Hawa watu wanafanya referendum,nadhani,ili kuamua kama nchi iwe Republic. Sisi hatukufanya referendum kuamua kama nchi iongozwe na Malkia au iongozwe na Kambarage.
Jambo moja najiuliza sometimes,inawezekana kurudi kwenye uongozi wa Malkia? Tunaweza kufanya referendum kati ya kuongozwa na Malkia au kuongozwa na Samia? Au inatosha kuongozwa na Oman? These are just academic questions.
 
Jamuhuri ni nchi ambayo viongozi wake wakuu na wawakilishi wanachaguliwa kwa kura za watu
 
Back
Top Bottom