Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Semeni tu ukweli Venezuela wananchi milioni 2 wameikimbia nchi yao kutokana na umaskini na huduma mbovu sisi Tz tunawsifu?
 
Semeni tu ukweli Venezuela wananchi milioni 2 wameikimbia nchi yao kutokana na umaskini na huduma mbovu sisi Tz tunawsifu?
Mkuu hata sikusifu labda kuelezea uhalisia, utaweza kuona katika kipengele cha elimu nimeeleza kwamba raia wengi uihama Venezuela na kuelekea mataifa kadhaa.

Ni ukweli usiopingika kwamba raia wengi kuhama Venezuela sababu ya hali ya maisha ya sasa, lakini kiwango hicho kimeanza kupungua toka 2019.
 
Back
Top Bottom