Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Kujumuisha watu wenye asili mbalimbali.
Basi ndio chanzo kikuu cha mataifa hayo kuwa Bolivarian kutokana na uwanda wa eneo hilo kuitwa Bolivia.

Hivyo Simón Bolívar heshima yake imepatikana kutokana na kuupambania uwanda wa Bolivia ambao ni Bolivarian Paria. Utaweza kuona Simón Bolívar International Airport ni heshima yake.
 
Hii ni kutokana mVenezuela, Simón José Antonio de la Santísima Trinidad Bolívar y Palacios Ponte-Andrade y Blanco simply Simón Bolívar kuzipambania Venezuela, Bolivia, Colombia, Panama na Peru kutoka katika ukoloni wa Uhispania.

Bolívar alikuwa akisuka vikosi na mapambano akitokea Bolivia ambayo haikuwa imebanwa sana hadi kupelekea Uhuru wa mataifa hayo.

Case study ni sawa leo hii Afrika ya Kusini ijiite Jamhuri ya Tanzania ya Afrika Kusini au Jamhuri ya Tanzania ya Zimbabwe.
Nimekusoma mkuu
Shukran
 
Shukrani Mkuu,

Kwa sasa Venezuela hali inayo afadhari, biashara taratibu zinafanyika na Wavenezuela wanarudi kuwekeza.

Huduma muhimu zinaanza kurejea taratibu.
shukran ila tutarajie kuondoka madarakani serikali ya Maduro ama tutarajie kushindwa mbinu na hila za US dhidi yataifa hilo linalo ongozwa namrengo wakushoto ?!
 
shukran ila tutarajie kuondoka madarakani serikali ya Maduro ama tutarajie kushindwa mbinu na hila za US dhidi yataifa hilo linalo ongozwa namrengo wakushoto ?!
Hatma ya waVenezuela itamalizwa na waVenezuela. Maduro ukifuatilia raia tunamkubali.
 
Back
Top Bottom