Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

Hii nchi ilikuwa nzuri mno na bado ni nzuri...Sema mambo ya kuingiliwa kisiasa na Mataifa ya nje ndo yanaigharimu...Their oil..,Ina utajiri wa kutisha...Ni mojawapo wa nchi zilizo kwenye malengo yangu ya kuzitembelea Amerika ya Kusini...Kwanza jina lake tu,what a sweet name😋😋😄
Hakika, mataifa haya ni yaliyokuwa bora kabisa.
 
Ukiachana na siasa na umasikini...you can't go wrong with Venezuelan girls, i always think they are cute and hot.
 
Kuna jamaa wanaweza wakachomoa vita Venezuela ili wachukue mafuta...nasikia wanapenda sana mafuta.

Hii nchi ilikuwa nzuri mno na bado ni nzuri...Sema mambo ya kuingiliwa kisiasa na Mataifa ya nje ndo yanaigharimu...Their oil..,Ina utajiri wa kutisha...Ni mojawapo wa nchi zilizo kwenye malengo yangu ya kuzitembelea Amerika ya Kusini...Kwanza jina lake tu,what a sweet name😋😋😄
 
Kuna jamaa wanaweza wakachomoa vita Venezuela ili wachukue mafuta...nasikia wanapenda sana mafuta.
Yaani wenyewe ni mafuta tuu na yameanza kuwazidia coz supply imekuwa kubwa mno kuliko demand.
 
Ukiachana na siasa na umasikini...you can't go wrong with Venezuelan girls, i always think they are cute and hot.
Hujafikiria vibaya,upo sahihi kabisa.Wasichana wao ni warembo sana.Halafu si masikini kivile kama wengi wanavyodhani,wapo vizuri pia.... Hawa uchumi wao uliporomoka kwa kasi,inamaanisha kuna mirija fulani imezibwa...ikija kufunguka tegemea kuiona Venezuela ile tuliyoizoea...Haya ni mapito tu,..Ngoja iwe political stable.
 
Naona wamegundua na vyombo vya usafiri visivyotumia mafuta...Sijui itakuaje baada ya miaka kadhaa.
Tutahama hiyo Era ya kutegemea mafuta,si unajua wenyewe ndo kama viongozi...Pia inaweza kuwa mwanzo wa kuwachinjia mbali wale vigogo wa Middle East.. Sababu ndo roho yao ilipo.
 
Hivi middle east wakiporomoka kiuchumi,Africa esp. Tanzania tutaathirika kweli?...Huwa nahisi hatuwategemei sana hawa jamaa katika kula kwetu.

Yeah Middle East kama Middle East ikianguka kiuchumi lazima nasi tutaonja joto tu,si sisi tu,dunia nzima.Ngoja niongelee upande wetu;Si unajua Middle East ni nchi nyingi nyingi hivi(18),Na kati ya hizo zipo ambazo tuna uhusiano nazo sana,na nyingine kidogo.Kuna nchi kama Israel,Qatar,UAE n.k zikianguka kiuchumi waves zitafika hata huku.Ila kuna nchi kama Iran zikianguka kiuchumi nadhani mtikisiko tutakaoupata utakuwa sanasana kwenye oil price... Nadhani hatuna uhusiano wa moja kwa moja nao.Na zingine kama Misri hata zikianguka hazituathiri chochote sanasana.So mi naona inadepend na nchi gani ya Middle East imepata mtikisiko.Na sidhani kama wote wanaweza anguka kwa mkupuo,sababu wenyewe kwa wenyewe wanawekeana vikwazo.Maybe their common commodity, oil, iwe disturbed. Na oil kutoka kwenye ramani sio leo hata ivumbuliwe nini.That's why kuna wenzetu wanajaribu kukusanya visima vingi as possible.
I wish ningekuwa mwanauchumi ningekujibu kimapana zaidi.
 
Back
Top Bottom