Mkuu hata sikusifu labda kuelezea uhalisia, utaweza kuona katika kipengele cha elimu nimeeleza kwamba raia wengi uihama Venezuela na kuelekea mataifa kadhaa.
Ni ukweli usiopingika kwamba raia wengi kuhama Venezuela sababu ya hali ya maisha ya sasa, lakini kiwango hicho kimeanza kupungua toka 2019.