Jamhuri ya Kiislam ya Iran

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unalia lia kijana wewe , MASHIA wanakiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kuwa ALLAH ndio Mungu wa kweli na Mohammad ni mtume wake , kwa kitendo hiki mashia wanakuwa waislamu wewe hutaki kitu gani au unafikiri kila mtu ni mjinga humu unaweza kumdanganya , narudia Mashia ni waislamu na hauna namna wala kitu chochote cha kuwatoa katika UISLAMU
 
Huu ndio ukweli tatizo huyu anafikir kila mtu humu ni mjinga anaweza kumdanganya atakavyo , MASHIA ni waislamu kabisaa na wameupata UISLAMU huo baada ya kumkiri Allah na Mohammad
 
Funguka tu Zurri, Kwamba!; Kuiita Iran NI nchi ya Kisilamu ni kuudhalilisha Uisilamu! Wakati wao Mashia sio Waisilamu bali ni makafir Sawa na makafir wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashia watabaki kuwa waislamu tu huwezi kuwatoa huko ndio maana hata huko Mecca na Madina wanaenda kuhiji kila mwaka kutimiza nguzo za uislamu.
 
Mashia watabaki kuwa waislamu tu huwezi kuwatoa huko ndio maana hata huko Mecca na Madina wanaenda kuhiji kila mwaka kutimiza nguzo za uislamu.
Kama ulikuwa hujui, Mashia wametengeza Kaaba yao.



Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Ujuaji mwingine bana hadi unatia kinyaa. Nchi inatambulika katika katiba yao kama
Islamic Republic of Iran

جمهوری اسلامی ایران (Persian)

Jomhuri-ye Eslāmi-ye Irān

Kwa maana kabisa ya kwamba serikali yao ni ya kiislaam then mtu anakuja hapa kuelezea anachokielewa ambacho ndo sahihi unakuja hapa kupinga bila hoja anaomba umuelekeze kuhusu wewe unachokielewa unaleta mashauzi. Watu wengine mkoje, eti asiamini taarifa anazopata kwenye vyombo vya habari as if we taarifa zako ulizonazo kuhusu mambo mbalimbali na kuziamini unazitoa kwenye vyombo vya jikoni. Kwa kweli kichwa kitupu ni mzigo kwa miguu
 
Empty set!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaosema Shia ni Waislam thabit nataka wajibu hapa maswali yangu haya matano kwanza
1. Je, umeshawahi kuiskia shahada ya Shia? Wanatamkaje?
2. Je, ndio mafundisho ya mtume na Quran yalivyosema kuhusu shahada?
3. Je umeshawahi kuiskia adhana ya Shia?
4. Je, ndivyo uislam ulivyosema kuhusu adhana?
5. Je mnajua kuwa mashia wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile? Uislam umesemaje kuhusu mwenye kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile?
Tuanzie hapo kwanza.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Ebu acha kutuchosha wewe ili mtu aingie katika UISLAMU anatakiwa akiri kuwa ALLAH ndio Mungu na Mohammad ni mtume wake , je Shia anakiri hili au akubali hili? unauliza maswali ya kitoto wakati msingi wa kuingia katika UISLAMU upo wazi
 
poa.
 
Pole sana mkuu,mada yako ni nzuri sana kwani wengi wetu hatufahamu kwa kina migogoro ya mashariki ya kati. Ila nasikitika hautapata majibu ya kutosheleza kwa kuwa washia na wasuni wameanza kubishana nani ni muislamu na nani siyo,badala ya kujikita kwenye maswali yako.
 
poa.
 
Niwekee ushahidi wa hilo. Maana naona nalea ujinga.
 
Ebu acha kutuchosha wewe ili mtu aingie katika UISLAMU anatakiwa akiri kuwa ALLAH ndio Mungu na Mohammad ni mtume wake , je Shia anakiri hili au akubali hili? unauliza maswali ya kitoto wakati msingi wa kuingia katika UISLAMU upo wazi
Hoja dhaifu

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…