Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Write your reply...ukiona muislam anang'ang'ana eti sijui washia sio waislamu ujue huyo ni wale wavaa surual fupi a.k.a wahabia,na ukiwa karibu nae huyo ukae nae kwa makini sana,maana hawa ni hardliner,hachelewi kukufyeka kichwa au kujilipua,na huo ndo ujinga walio nao baadhi ya hawa extremist
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwajui majui kijana,nikajua vitabu vyao nilivyo viweka humu umesoma.

Sipotezi muda kujadiliana na Mjings,na sio kila anaeshuhudia hilo anakuwa muislamu bali mtu anaingia kwenye uislamu kwa shahada na shahada katika uislamu ni mbili,ila kwa mashia ni tatu,sasa hiyo ya tatu mpaka kesho hawatuambii wameipata wapi.

Wao wanasema : Nashuhudia ya kuwa Allah ndie anaepaswa kuabudiwa na mtume Muhammad ni mja na mjumbe na nashuhudia ya kuwa Aliy ni Walii wa Allah. Hii shahada haipo katika Uislamu,na adhana zao zinasikika kila ucha na uchwao.

Nasema tena sibishani na mjinga,mjinga ambae hata nikikuambia utaje vitabu vya asili japo viwili vya USHIA huwezi kuvitaja.

Mashia wana mengi yakuwatoa katika uislamu na sio Waislamu.
Mbona unalia lia kijana wewe , MASHIA wanakiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kuwa ALLAH ndio Mungu wa kweli na Mohammad ni mtume wake , kwa kitendo hiki mashia wanakuwa waislamu wewe hutaki kitu gani au unafikiri kila mtu ni mjinga humu unaweza kumdanganya , narudia Mashia ni waislamu na hauna namna wala kitu chochote cha kuwatoa katika UISLAMU
 
Yani ubishi kati ya suni na shia ni political struggle for power wala sio itikadi za dini siku ukilitambua hili utakuwa umeongoka
Alli na Abu bakr ndo walianzisha hizi malumbano na wote walikuwa na sifa za kuongoza...nimeona hapo juu bwana @hammas alikuwa anajaribu kupotosha umma eti washia wanaamini mtume wao ni alli....huu ni ujinga
Kuhusu ushahidi kila mtu ana ushahidi wake na HAKUNA aliye 100% perfect
Huu ndio ukweli tatizo huyu anafikir kila mtu humu ni mjinga anaweza kumdanganya atakavyo , MASHIA ni waislamu kabisaa na wameupata UISLAMU huo baada ya kumkiri Allah na Mohammad
 
Funguka tu Zurri, Kwamba!; Kuiita Iran NI nchi ya Kisilamu ni kuudhalilisha Uisilamu! Wakati wao Mashia sio Waisilamu bali ni makafir Sawa na makafir wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mashia watabaki kuwa waislamu tu huwezi kuwatoa huko ndio maana hata huko Mecca na Madina wanaenda kuhiji kila mwaka kutimiza nguzo za uislamu.
 
Mashia watabaki kuwa waislamu tu huwezi kuwatoa huko ndio maana hata huko Mecca na Madina wanaenda kuhiji kila mwaka kutimiza nguzo za uislamu.
Kama ulikuwa hujui, Mashia wametengeza Kaaba yao.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.

Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji mwingine bana hadi unatia kinyaa. Nchi inatambulika katika katiba yao kama
Islamic Republic of Iran

جمهوری اسلامی ایران (Persian)

Jomhuri-ye Eslāmi-ye Irān

Kwa maana kabisa ya kwamba serikali yao ni ya kiislaam then mtu anakuja hapa kuelezea anachokielewa ambacho ndo sahihi unakuja hapa kupinga bila hoja anaomba umuelekeze kuhusu wewe unachokielewa unaleta mashauzi. Watu wengine mkoje, eti asiamini taarifa anazopata kwenye vyombo vya habari as if we taarifa zako ulizonazo kuhusu mambo mbalimbali na kuziamini unazitoa kwenye vyombo vya jikoni. Kwa kweli kichwa kitupu ni mzigo kwa miguu
 
Wacha nikujibu maana mimi ni mtu nilieyetembea hao mataifa ya israel na syria na pia najua mengi kuhusu iran ila sijawi fika hapo- kwanza ndio kiongozi wa iran wa ndini ayatollah ana nguvu na mamulaka zaidi ya raisi wa taifa la iran,kama hata bunge likipitisa sheria asipoweka sahini signature huyu ayatollah kiongozi wa deni hio sheria haitakuwa sheria. kuhusu nini shinda ya israel na iran, hizi taifa 2 hazijawahi kupigani ila chuki ya wana iran kwa wayahudi israel ni ya kuwa wao iran ni waislamu na israel ni wayahudi na hivyo klla mara iran inapiga kelele death to israel, wanaita israel the small satan , na pia hao iran ndio wanapatia hela wale magaidi wako lebanon ambao wanaitwa HEZBOLLAH, na hao magaidi wanarusha makombora hadi israel kiongozi wao anaitwa NASHRAH. la 3 sababu iran ni adui wa isreal ndio israel haiwezi ruhusu iran iweke zana zake za kivita hapo syria, maana nia ya iran ni kuiangamiza wana israel, na ndio sababu kamwe isreal haitakubali kamwe iran iweke watu wake hapo syria, na israel tayari imeua wana iran wengi sana wanajeshi ambao walikuwa wako hapo syria.kumbuka taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kijeshi duniani ni----ISRAEL. nafikiri nimekujibu ya kutosha, kaa hujatoseka uliza tu kila hujaelewa mkuu, baraka tele.
Empty set!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaosema Shia ni Waislam thabit nataka wajibu hapa maswali yangu haya matano kwanza
1. Je, umeshawahi kuiskia shahada ya Shia? Wanatamkaje?
2. Je, ndio mafundisho ya mtume na Quran yalivyosema kuhusu shahada?
3. Je umeshawahi kuiskia adhana ya Shia?
4. Je, ndivyo uislam ulivyosema kuhusu adhana?
5. Je mnajua kuwa mashia wanawaingilia wanawake kinyume na maumbile? Uislam umesemaje kuhusu mwenye kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile?
Tuanzie hapo kwanza.

Ebu acha kutuchosha wewe ili mtu aingie katika UISLAMU anatakiwa akiri kuwa ALLAH ndio Mungu na Mohammad ni mtume wake , je Shia anakiri hili au akubali hili? unauliza maswali ya kitoto wakati msingi wa kuingia katika UISLAMU upo wazi
 
Yani ubishi kati ya suni na shia ni political struggle for power wala sio itikadi za dini siku ukilitambua hili utakuwa umeongoka
Alli na Abu bakr ndo walianzisha hizi malumbano na wote walikuwa na sifa za kuongoza...nimeona hapo juu bwana @hammas alikuwa anajaribu kupotosha umma eti washia wanaamini mtume wao ni alli....huu ni ujinga
Kuhusu ushahidi kila mtu ana ushahidi wake na HAKUNA aliye 100% perfect
poa.
 
Salaam wakuu

Natambua kabisa kuwa JF iko na utajiri wa wajuvi wa mambo katika kada zote za maisha. Kijana wenu naomba kujuzwa haya machache yanayonitatiza kuhusu muundo wa serikali ya Iran.

Mosi, natambua kuwa Iran ni jamhuri ya Kiislamu, je kiongozi wa kidini wa Iran ana mamlaka kuliko kiongozi wa kisiasa wa Iran(rais)?
Pili, Iran haijawahi kupigana vita na Israel, nini chanzo cha uhasama wake na taifa hilo la Wayahudi (Israel)?
Tatu, Kwa nini Israel haitaki kabisa kuiona Iran ikiwa na ngome imara huko SYRIA?
Pole sana mkuu,mada yako ni nzuri sana kwani wengi wetu hatufahamu kwa kina migogoro ya mashariki ya kati. Ila nasikitika hautapata majibu ya kutosheleza kwa kuwa washia na wasuni wameanza kubishana nani ni muislamu na nani siyo,badala ya kujikita kwenye maswali yako.
 
Mbona unalia lia kijana wewe , MASHIA wanakiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kuwa ALLAH ndio Mungu wa kweli na Mohammad ni mtume wake , kwa kitendo hiki mashia wanakuwa waislamu wewe hutaki kitu gani au unafikiri kila mtu ni mjinga humu unaweza kumdanganya , narudia Mashia ni waislamu na hauna namna wala kitu chochote cha kuwatoa katika UISLAMU
poa.
 
Mbona unalia lia kijana wewe , MASHIA wanakiri kwa moyo na kubaini kwa ulimi kuwa ALLAH ndio Mungu wa kweli na Mohammad ni mtume wake , kwa kitendo hiki mashia wanakuwa waislamu wewe hutaki kitu gani au unafikiri kila mtu ni mjinga humu unaweza kumdanganya , narudia Mashia ni waislamu na hauna namna wala kitu chochote cha kuwatoa katika UISLAMU
Niwekee ushahidi wa hilo. Maana naona nalea ujinga.
 
Ebu acha kutuchosha wewe ili mtu aingie katika UISLAMU anatakiwa akiri kuwa ALLAH ndio Mungu na Mohammad ni mtume wake , je Shia anakiri hili au akubali hili? unauliza maswali ya kitoto wakati msingi wa kuingia katika UISLAMU upo wazi
Hoja dhaifu

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Back
Top Bottom