Jamhuri ya Kiislam ya Iran

Lete nukuu ata moja katika vitabu hivyo inayokataa maneno ya Quran kuwa mwenye Kumkiri ALLAH ni Muislamu , rahisi kabisa maana naona uelewi

Nacheka sana,hili rahisi sana na litafafa usijali,usitafute lalutokea mpaka hili liishe,unakubali hivyo vitabu ni vya mashia na Mashia waa vitau vyao ?

Nani alikwambia kwamba kumkiri Allah pekee na mtume ndio kunamfanya mtu awe muislamu huku ukiwa na itikikadi potofu juu ya Allah na Mtume ?

Sababu naona mada imekuzi na kwa udhaifu wakk na kuoa kazi tafuta sehemu popote uwaulizs Mashia wanizubgumziaje hii Qur'aan.

Kijana umeshindwa kuweka ushahidi wa Mashia kukiri shahada
 
Yaani Omar akatae kuleta kalamu na karatasi ambayo aliomba mtume halafu unanilaumu mimi !!, yaani mtume na maradhi yake mpaka akawatimua halafu unaandika nini wewe, yaani mtume anaomba aandike kitu ambacho Uma wake wakikielewa hawatapotea halafu Omar anapinga , halafu ww unaona sawa !! Kweli mapenzi upofu
 
Mbona kuzunguzuka tena lete nukuu inayokataa kuwa mwenye kumkiri ALLAH sio muislamu ? acha mizunguko wewe
 

Mosi: Kiongozi mkuu wa kidini wa jamhuri ya kiislam ya Iran ana mamlaka kuliko raisi wa nchi.
Pili: ugomvi wa Iran na Israel ulianza baada ya Iran kuwafadhili Hamas na kupinga Irael kukalia ardhi ya wapalestina na pia Iran ilipoanza kuwasaidia kiuchumi na kijeshi Hizbullah ambayo ilikua inapinga kuvamia mara kwa mara taifa lao la Lebanon pamoja na kuyakalia kimabavu baadhi ya maeneo ya nchi yao kama eneo la milima ya Golan.
Tatu: Israel haitaki Iran ijiimarishe kijeshi nchini Syria au katika taifa lolote la Asia magharibi kwa kua kufanya hivo kutaifanya Iran kua na nguvu kubwa kijeshi jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wa Israel.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambia lete nukuu inayokwenda kinyume na QURAN , kuwa Mwenye kumkiri ALLAH asiwe Muislamu ? naona hatuelewani
Acha kupoteza muda. Tumalize la kwanza na ujibu lile swali kisha tuendelee,yaani mimi na vitabu nakupa,vitabu vinavyoelezea maana ya Shahada,kwahiyo hilo litafata baada ya wewe kutuonyesha ya kuwa Mashia wanakiri shahada,wapi umeona hilo.

Tena kitabu kimoja kinaitwa "Ma'an Laa ilaha ila Llah" kwahiyo usihofu juu ya hilo.
 
Mada nzuri Sana sema imeshabadilishwa mwelekeo.
 
Huna jipya endelea kusema hivyo hivyo, wakati angeweza kuongea hata kwa mdomo.then acha kuaminisha umma kuwa mtume alikuwa anataka kuandika kuwa Ali ndio khalifa wa waislam.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Hahaha wake tabiriwa pepo wapi ..hao wamejitabiria wao wenyewe..history huwa inaandikwa na washindi aisee
 

Kaka usileta mambo ya habari za mitandaoni, leta ushahidi wa Uislamu kuonyesha ya kuwa Irani ni nchi ya kiislamu, na sio kwa mujibu wa siasa za kimataifa na kile wanachojinasibu kwacho mashia.

Nchi ya Irani ni ya Kiislamu kwa mujibu wa nani ?

Unawezaje kwenda kinyume na maandiko ya Allah na mtume wake halafu ukaendelea kuwa Muislamu?

Ama kujiita acha wajiite ila kiuhalisia sio Waislamu. Hivi kaeni chini muwasomi mashia, tena kwenye vitabu vyao muone mabaya yao.

Miongoni mwa itikadi za mashia ni kuwa :

1. Maswahaba Abuu Bakr, Umar, Uthman, mama yetu Aisha kwamba ni makafiri na waliritadi.
2. Wanaamini ya kuwa maimamu wao hawakosei, yaani maasum
3. Wanadai Qur'aan hii tuliyo nayo haijakamilika na iliyokamilika ipo kwa mtu aitwae Mahdi ambaye yuko mafichoni huko anasubiri muda ufike adhihiri.
4. Wana amini ya kuwa kwenda Karbala kuzulu kaburi la Hussein ni bora kuliko kuhiji Makka mara elfu.
5. Wana shahada tatu na sio mbili kama zetu sisi Waislamu.
6. Wanasema Jibril alifanya khiyana kupeleka utume kwa mtume Muhammad na aliye stahili ni Ali.

Sasa hawa watu mnatakiwa muwajue kwanza.
 
Acha majibu ya Dharau wewe

MTU ameuliza vizuri mjibu vizuri ikiwa unafahamu kama hufahamu nyamaza wajibu wengine

Unauliza uliza maswali ili uonekane unajua sana au?

Acha dharau Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswaaa

Huyo Mfia dini ndivyo alivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NI KWELI KABISA

Kama huyu Zurri na FaizaFoxy

Wanaweza kujilipua hata sasahivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me navyojua waislam huwa hawachelewi kuzika kusinge kuwa na ugumu kumzika kwanza mtume halafu waje waendelee na kikao cha madaraka hawa wakina umar na mwenzie abubakr walikuwa na agenda yao na kama mtume angekufa zama hizi ingebid kifo chake kichunguzwe pengine hata hawa jamaa walihusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mtu anatakiwa kuzikwa na watu wangapi? Au hao waliokuwepo kwenye kumzika hawakutosha?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…