Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Ila Tanzania Kuna watu wanaijua sana Iran kuliko hata wairan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeokoa muda wako kwa kutoandika lolote.Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeokoa muda wako kwa kutoandika lolote.
Umemsaidia nini sasa muuliza swali!
Nonsense!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli!Ila Tanzania Kuna watu wanaijua sana Iran kuliko hata wairan
Usipoteze Muda yeyote anaekubali kwa moyo na kuthibitisha kwa ulimi kuwa ALLAH ni Mungu mmoja asie na mshirika na Mohammad ni mtume wake huyo ni MUISLAMU , hivyo basi kwa kuwa SHIA wanakubali hili hao ni waislamu , kuna swali jingine ?Upo kinyume na ukweli. Onyesha uislamu wa Ushia uko wapi ?
Kwahiyo wewe Allah kakurehemu unaujua ukweli , lakini Mashia Allah hajawarehemu kwahiyo wako chaka , acha ujinga wewe ahaahaahaahhahaaahhahaBro ulimwengu huu ukweli haujulikani na watu wenge isipokuwa wale ambso Allah amewarehemu.
Katika mambo ya kielimu hutakiwi kusema "Nijuavyo mimi....". Unatikiwa ujue uhalisia wa mambo kama wakubwa wako katika elimu wanavyoujua,yaani unatakiwa uujue ujweli halisi.
Kuna swali nataka nikuulize,umetumia vyanzo gani kujua ya kuwa Ushia ni jamii ya waislamu ?
Na wewe unavaa suruali fupi ?Bro kuvaa suruali fupi ni dhambi ?
Saudi Arabia ni tawi la Marekani , wakati huo huo Marekani ni adui wa Iran, vile vile Saudia ni Masuni awataki Mashia wawe juu , wa Saudia wabinafsi sana wale , wamewakaribisha Makafiri kulinda nyumba takatifu ya ALLAH(Al kaaba ) hiki kitendo Iran anakikataa sana sana sana , vip Nyumba takatifu ya ALLAH ilindwe na wanywa gongo wa Marekani !!! ahaahhaaaahaaaIran na Saudi Arabia wana ugomvi gani na wote ni waislaam?
Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka Dalili gani kuwa Mashia ni waislamu ?Hawez kukupa dalili hata siku moja maan ndo sifa za mahizbiyun
Kwanini Mashia sio waislamu ebu wacha kuuliza maswali ya kichekechea hapa ?Nataka nikusaidie,ila ukijibu maswali haya itakuwa rahisi sana.
Unakubali jamhuri ya Irani iko chini ya Mashia kiitikadi na ki mwenendo ?
Funguka tu Zurri, Kwamba!; Kuiita Iran NI nchi ya Kisilamu ni kuudhalilisha Uisilamu! Wakati wao Mashia sio Waisilamu bali ni makafir Sawa na makafir wengine!Kwanza hujajibu swali. Sababu nataka kuokoa muda na kukusaidia. Jua ya kuwa si Jamhuri ya Kiislamu. Sasa kuhusu kujua ni Jamhuri ya nini ni jukumu lako kufatilia kama ukivyofatilia na kuona ya kuwa ni Jamhuri ya Kiislamu.
Kama hujufatilia na umesema kama visemavyo vyombo vya habri,hilo ni tatizo lako na unatakiwa uanze sasa kufatilia hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesema HAKUNA ibaada ya mashia inafanana na ibaada ya masunni ningekuelewa.. .Bro uko sahihi,na hapa natilia mkazo kwa maneno haya mafupi "Hakuna ibada yoyote ya mashia ikafanana na ibada ya waislamu". Huu ndio ukweli,kwa ufupi USHIA ni dini kando tofauti na uislamu.
Huwajui majui kijana,nikajua vitabu vyao nilivyo viweka humu umesoma.Usipoteze Muda yeyote anaekubali kwa moyo na kuthibitisha kwa ulimi kuwa ALLAH ni Mungu mmoja asie na mshirika na Mohammad ni mtume wake huyo ni MUISLAMU , hivyo basi kwa kuwa SHIA wanakubali hili hao ni waislamu , kuna swali jingine ?
Na wewe unavaa suruali fupi ?
Poa.Huna lolote ujualo! Kaa kimya wacha kujifanya unajua kumbe hujui kitu.
Kinachoangaliwa ni ushahidi.Ungesema HAKUNA ibaada ya mashia inafanana na ibaada ya masunni ningekuelewa.. .
Kwasababu hivo ulivosema hata mshia anaweza kusema HAKUNA ibaada ya masunni inafanana na ibaada ya waislam
Yani ubishi kati ya suni na shia ni political struggle for power wala sio itikadi za dini siku ukilitambua hili utakuwa umeongokaKinachoangaliwa ni ushahidi.