Umetoa nukuu ambayo references yake umeandika kihuni , andika references sahihi ili tukuletee hiyo nukuu, sio unaleta janja janja hapa
Nacheka sana, ungekuwa karibu yangu ningekupiga makofi.
Inaonekana hiki kitabu unacho, na kama nimekosea unatakiwa unisahishe kwa kuweka hiyo nukuu na matini.
Kijana nina uhakika hiki kitabu ndio kwanza umekisikia au kuona jina hilo hapa nilipokiandika.
Unataka kuleta uhuni wa kishamba hapa?! Hatulei vilaza sisi.