Jamhuri ya Muungano? Kazi iendelee. Kazi ipi zaidi ya uchawa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
1742326568127.png

Tangu mtukufu mama aingie kwenye ulaji salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi Iendelee imekuwa ikitumika. Je ni wangapi wanajua maana na mantiki yake? Kazi gani inayoendelea ambayo haiboreshi maisha ya watanzania? Kunaweza kuwako kazi na ya kuendelea katika uchawa huu kwa sasa? Je Kazi Indelee ni udukuzi wa Hapa Kazi Tu au kutaka kumtumia mwendazake kufanya madudu kama ilivyo? Sina ugomvi na kauli mbiu hata kidogo. Wahusika wanapaswa kuelimisha jamii juu ya kile wanachomaanisha ikilinganishwa na utendaji wao.​

Kuuliza si ujinga wanangu.​

View attachment 3275668

"Kazi Iendelee" - maana yake wizi wa CCM na viongozi wake uzidi kuendelea huku wakitupumbaza akili na wao wakiendelea kula uchumi wa chi yetu.
 
Kazi iendelee kwao ili waendelee kula na kunywa na vizazi vyao huku watanzania walio wengi wakishindwa hata kupata chakula Cha uhakika.

Ndio maana Kila siku ni kusisitiza AMANI, AMANI, AMANI, AMANI.

AMANI ni ili wao na watoto wao waendelee kula keki ya Taifa Kwa AMANI.

Hii nchi yetu miaka yote tangu 1961 ina AMANI wao hofu Yao nini hasa.....
 
Back
Top Bottom