Kazi iendelee kwao ili waendelee kula na kunywa na vizazi vyao huku watanzania walio wengi wakishindwa hata kupata chakula Cha uhakika.
Ndio maana Kila siku ni kusisitiza AMANI, AMANI, AMANI, AMANI.
AMANI ni ili wao na watoto wao waendelee kula keki ya Taifa Kwa AMANI.
Hii nchi yetu miaka yote tangu 1961 ina AMANI wao hofu Yao nini hasa.....