isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
- Thread starter
- #41
Maeneo makuu katika majiji hali ni shwari.Mungu akujaalie ufike mkuu nna imani kubwa sana kama utajaaliwa kufika huko kunakitu flani hv katika maisha yako utakiongeza
Ila ishu inakuja nikwamba katika sehem nyingi ulizo ama unazozitamani hapo kuzitembelea halu yake yakiusalama sio yakuridhisha saaaaana......
Sent using My COVID-19