JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
18 October 2025

JAMHURI YA PLATO — Tafsiri ya Mwisho ya Mwalimu Julius K. Nyerere


View: https://m.youtube.com/watch?v=fiC1cODelxU
“Jamhuri ya Plato” ni kazi adhimu ya falsafa iliyoandikwa na Plato, na hii ni tafsiri yake ya Kiswahili iliyofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Hii ndiyo kazi ya mwisho ya tafsiri ambayo Mwalimu Nyerere aliifanya kabla ya kufariki.

Katika kitabu hiki, Plato anatafakari kuhusu maana ya uongozi bora, haki, maadili, elimu, na ujenzi wa taifa linaloweka watu na misingi ya maadili katikati ya mfumo wake.

Kupitia ufasaha wa Kiswahili cha Mwalimu Nyerere, wasomaji wanapata nafasi ya kuisoma falsafa hii kwa lugha ya staha, yenye mizizi katika utamaduni wa Afrika Mashariki.

Kwa nini kitabu hiki ni muhimu?

• Ni urithi wa mwisho wa kifasihi kutoka kwa Mwalimu Nyerere

• Kinaunganisha fikra za kale na majadiliano ya sasa kuhusu uongozi, jamii na demokrasia

• Ni rejea muhimu kwa wasomi, wanafunzi, viongozi, na wapenzi wa falsafa

Balozi Christopher C. Liundi, balozi Charles Sanga na wasomi nguli wakiwemo wastaafu Prof. Saida Yahyah Othman, Prof. Issa Shivji na wapenda vitabu wanatufafanulia kazi hii mahiri ya kufikia umma mpana kwa kitabu cha Plato alichotafsiri Julius Kambarage Nyerere ..
 
Ndio ujue mimi kumtwanga taahira yoyote humu jukwaa la siasa ni dakika moja.

Miaka mingapi sasa nawaambia asilimia kubwa ya wengi wenu humu amjasoma, hata elementary level ya political books. And yet you are trying to bring political philosophy arguments which you haven’t grasp even the basic.

Plato’s Republic ambacho nimekuwa nikihimiza lazima civil servants wakielewe hasa, his ship allegory ni ‘advanced civil service’ management.

Ndio uelewe navyosema nadili na mataahira mara nyingi na usalama wa taifa mchezo wa watu wa wenye akili we mean it.

And this is just basic knowledge kwa dunia ya wazungu.

This is why you can easily predict, siasa za Tanzania.

Just shallow.

Ndio ukweli wenyewe
 
Pamoja na kazi nzuri ya kufasiri kazi ya Plato, lakini huyo Plato alikuwa akielimisha zaidi kuhusu utawala wa kimabavu kutoka kwa kiongozi mwenye kuhodhi mamlaka (totaritarian) zote dhidi ya wale wanotawaliwa.

Na pia alikuwa akilalia zaidi kwa upande wa siasa za nchi za magharibi.

Lakini moja ya mambo ya muhimu kabisa kwa hayati Mwalimu Nyerere na kazi za Plato ni kufuata mawazo (ideas) ya Plato kwamba wajenga mfumo mzuri wa sheria na haki na usawa katika jamii unoiongoza na hapo ndo tumeona jinsi alivyoweza kuunda mifumo kadhaa chini ya uongozi wake kuanzia mahakama, bunge, ulinzi na usalama hadi kwenye mfumo wa chama kimoja ambao ulimwezesha kutawala kirahisi kwasababu alikuwa ana "access" ya kufahamu nani ni nani na nani kasema nini.

Na hilo ndo linotusumbua leo kwa haya tunoyaona yanotokea nchini kwa sasa.

Hivyo Plato sidhani kama alikuwa ni mtu sahihi wa kufuata na kuyatumia au kuyaiga kila aloyaandika kwani yapo ambayo leo hii yatatiza kuyafuata.

Kuna mmoja wa wakosoaji wazuri tu wa kazi za Plato aitwa Karl Popper alieandika kitabu chake kiitwacho "The Open Society and Its Enemies"alokiandika mwaka 1945. Popper amedai kwamba Maandishi ya Plato ni ya yale yaitwayo Dystopia yaani kinyume na Utopia kwamba Plato hakuwa akiamini katika demokrasia na ubinadamu kwani alikuwa aliamini katika kuhodhi madaraka na kuunda utawala ulowakandamiza wale watawaliwa.

Popper pia amemtofautisha Plato na Socrates kwamba Socrates ndiye aliefaa kuigwa kwa kazi zake za kuhoji khasa mawazo ya Plato.
 

☝️Me advising taahira mmoja humu kwenye jukwaa Kalamu kabla ya kuongea na mimi siasa walau uwe na hiyo basic logic kwanza.

But then moderators I need to take this fool of my ignore list; but don’t how to. Help please.
 
Kiongozi

Soma kitabu, ukielewe kabla ya kuandika vitu kutoka kichwani kwako.

Plato anatoa mwongozo kupitia debete to how society ought to be governed; interpretation ni jukumu lako.

Western society walichochukulia cha msingi kwanza ni ship allegory na pili cave allegory (kwenye media how to shape narrative).

Sasa ukikaa ukajiuliza how does a 350 BC philosopher can write such a clever plot; maswali ni mengi kuliko majibu.

Kwa sababu hiko kitabu kimeibua political reasoning luluki na modern thinking kiasi kwamba unajiuliza was Plato even real or we leave in a controlled world.
 
Kiongozi

Soma kitabu, ukielewe kabla ya kuandika vitu kutoka kichwani kwako.

Plato anatoa mwongozo interpretation ni jukumu lako.
Kiongozi,

Sasa hii ni interpretation yangu pia.

Ni kama vile ningeandika Literature review ingefanana ni hii.

Ingawa nimesoma uzuri sana The Republic na nakiamini.

Pia mie ni mfuasi sana wa kazi za mwanae Plato, Aristotle na kazi yake ya "The Age of Enlightenment".
 
Kiongozi,

Sasa hii ni interpretation yangu pia.

Ni kama vile ningeandika Literature review ingefanana ni hii.

Ingawa nimesoma uzuri sana The Republic na nakiamini.

Pia mie ni mfuasi sana wa kazi za mwanae Plato, Aristotle.
You do know Aristotle philosophy ndio msingi wa heresy.

But Plato’s republic is another story, ndio maana hata huyo Nyerere kabla ya kufa alitaka watanzania wakisome.

Huwezi kuwa na mwongozo sahihi wa nchi as civil servant, kama hujui msingi wa Plato’s republic.
 
Nakupata kiongozi.

Nafikiri tulijadili hili miezi kadhaa nyuma.

Ile top Cream ya Mwalimu imepotea, Civil Servants leo sidhani kama tunao wanofahamu kazi.

Tukifika 2030 nahofia mengi.

Nakumbuka nilikupa mfano kwamba katibu mkuu wa wizara ndie mwenye hiyo wizara kwani humfundisha kazi hata waziri maana mawaziri huteuliwa na kubadilishwa kila mara lakini si katibu mkuu wa wizara.

Sasa leo hii ukimtafuta katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani ukamuuliza akupe miongozo mbalimbali aloiandika kwa wizara sidhani kama ipo na kama ameandika sidhani kama yafuatwa.
 
Mkubwa naamini wako imara (that’s just me), sio kwamba naijua system vile.

Likewise kwa kuwa usalama ni mchezo wa akili na uzalendo. Itakuwa na wao kwa sasa hivi wamejifunza madhara ya madaraka ya raisi kwa katiba ya leo inavyo compromise kazi zao.

Ukiacha upuuzi wa chuki za raisi kwa sababu ya kuwa mwanamke, kutoka visiwani na uhalisia kuwa fisadi.

Uhalisia ni kwamba afisa wake wa usalama wa kwanza kumteua alikuwa Mzanzibari; hakujuwa jamaa alikuwa Tanzania kwanza ufisadi baadae. Ndio kubadili hadi kupata afisa ambae ni fisadi aliemfaa.

Sasa naamini kuna wazalendo wengi huko kwenye vyombo vya ulinzi ambao somo wamelipata; wanataka nini kwenye mabadiliko ya katiba.

But then had they understood Plato’s republic civil servants wasingeacha nafasi ya kun’gamua maslahi yao ya kumuachia raisi achezee system. Huo ndio ulikuwa msingi wa kubadili katiba.

Mengine upuuzi wa Warioba mtu ambae hajui sheria. Hata mimi kumtwanga ni dakika moja tu. Upuuzi wa katiba ya Warioba tuwaachie CDM na wanaharakati wao.
 
 
Mengine upuuzi wa Warioba mtu ambae hajui sheria hata mimi kumtwanga ni dakika moja tu. Upuuzi wa katiba ya Warioba tuwaachie CDM na wanaharakati wao.
Nakubaliana mengi nawewe.
Kwa hili la Warioba nakupinga.
Warioba aliandika peke yake? Au wenzie walikubali alichosema yeye tu?
Unawakumbuka wajumbe wa kamati yake wote? Huwakumbuki akina Dr. Sengondo Mvungi n.k.?
 
Nakubaliana mengi nawewe.
Kwa hili la Warioba nakupinga.
Warioba aliandika peke yake? Au wenzie walikubali alichosema yeye tu?
Unawakumbuka wajumbe wa kamati yake wote? Huwakumbuki akina Dr. Sengondo Mvungi n.k.?
Katiba ni structure, hata Kipindi cha bunge la katiba; kuna mengi marehemu Jaji Werema alielezea impracticability ya baadhi yaliyomo kwenye mapendekezo.

As a legal document, structured and ought to follow conventions of writing; rasimu ya Warioba ilijaa ujinga; worst aikuzingatia maswala sugu ya matatizo ya Tanzania (kupunguza madaraka ya raisi).

Ule ulikuwa ni upuuzi tu kikubwa ni kutaka serikali tatu (hayo sio matatizo ya msingi ya Tanzania) madaraka ya raisi ndio shida ya Tanzania; Warioba alikuwa anatetea yabaki kama yalivyo na ndio mambo yanayoleta shida.

Sasa tafadhali usitueleze Warioba war clever, he only appear so kwa wanaharakati; otherwise oh my god what a useless old man.

Hawa watu ni predictable unadhani Samia ana motive ya katiba mpya. Akili yake ya katiba mpya ni upuuzi aliolishwa na OMO serikali tatu predictable she is just stupid, wamempaje uraisi that’s beyond me. Lakini Samia akili hana ata kidogo.
 
Nimekupata vizuri.
Ninachokataa kumshambulia yeye binafsi kana kwamba aliandika peke yake. Hiyo moja.

Mbili, ubovu wa hiyo rasimu ulitokana na ubovu wa uwezo wa uelewa wa mambo wa wananchi. Sababu akina Warioba walifanya kura ya maoni kukusanya mawazo ya wananchi.
Kutokana na vuguvugu la chaguzi za Zanzibar, kelele za Jumuiya ya Uhamsho Zanzibar. Jamii ya watanzania ikasahau tatizo ulilosema "Mamlaka makubwa ya rahisi " ikajikuta inadai serikali tatu kuwa agenda Kuu.
Elimu na uelewa wa watanzania walio wengi ndiyo tatizo. Na ndiyo mtaji wa CCM na mafisadi.
 

Kwenye Bunge la Katiba raisi Samia nae alikuwemo kama mjumbe!

"What a coincidence".

Na ndo Dr Mvungi akawa haoni kama mzee Warioba afanya kitu sahihi na hapo wakapishana.

Baadae Dr Mvungi akauliwa kwa sababu ya kusimamia haki.
 
As a legal Chair and the entire team responsible for gathering information they ought to understand how to accumulate, analyse and write a draft in lign with constitutional structure.

Rasimu ya Warioba imeonyesha uwezo mdogo wa uelewa wa sheria in terms of structure kwenye kuandika katiba, ni hivi pale hakukuwa na legal expert kwa international standards. Baada ya kusoma ile rasimu iliyojadiliwa bungeni. Ule ulikuwa ni upuuzi na yeyote ambae ana champion ile rasimu ni kwamba anashabikia upuuzi tu.
 
Kwenye Bunge la Katiba raisi Samia nae alikuwemo kama mjumbe!

"What a coincidence".

Na ndo Dr Mvungi akawa haoni kama mzee Warioba afanya kitu sahihi na hapo wakapishana.

Baadae Dr Mvungi akauliwa kwa sababu ya kusimamia haki.
Ugomvi wao na serikali ilikuwa mambo ya serikali tatu, ndio kitu ambacho Warioba na Dr Mvungi; bila ya kumsahau Othman Masoud Othaman,.

Ile haikuwa katiba mpya yenye maslahi ya taifa zaidi ya ujinga. Similarly (predictably) raisi Samia anataka katiba mpya kwa ushauri wa OMO to achieve the same nonsense she is that stupid.

Watch this space.
 
Dharau hizi zimewakuta sababu waliheshimu maoni ya waliochangia.
Wangetumia akili zao na usomi wao pekee kubaini tatizo halisi wangeonekana hawajaandika walichotumwa na wananchi.
 
Na wasingeomba international expert kwasababu angeandika mambo ambayo wao hawayataki.

Ndo yaleyale ya Tunisia raisi kaita kura ya maoni lakini yalowekwa kwenye katiba baada ya kufanyiwa mabadiliko tofauti ya katiba ya mwaka 2014 mabadiliko ya sasa ndo yamempa nguvu zaidi raisi kufanya anotaka kuyafanya.

Lakini uzuri ni kwamba baada ya mapinduzi ya 2011 serikali na raisi wakaona umuhimu wa kusikiliza madai ya wananchi khasa ya mabadiliko ya katiba (reforms) na sasa katiba mpya ya 2022 yawapa nafasi wananchi kushirikishwa katika maamuzi yanohusu mstakabli wa nchi na ndo asilimia 96 za kura ya maoni zilipigwa wananchi wameunga mkono mabadiliko ya katiba.
 
Dharau hizi zimewakuta sababu waliheshimu maoni ya waliochangia.
Wangetumia akili zao na usomi wao pekee kubaini tatizo halisi wangeonekana hawajaandika walichotumwa na wananchi.
At the end they were supposed to analyse and structure accumulate info in appropriate manner when writing the draft.

Mpaka marehemu jaji werema akasema kuna mambo sio ya kuweka kwenye katiba ni political policies. Rasimu inasema katiba ilipe wakulima hela ya mbolea na kuanzisha sijui bank ya wakulima.

Sasa ni aspect gani ya katiba inaweza ku-guarantee hayo mambo. As a contract between a government and its subject katiba yeyote imejikita kwenye mambo mane preamble (declaration of principles), organisational structure, bill of rights and amendments.

Sasa kwenda kuingiza mambo ya ahadi za siasa. Ambazo utekelezaji wake unatokana na hali ya uchumi, the nonsense only make sense kwa wasomaji wa vitabu vya siasa (I am talking about elementary politics).

Ni hivi rasimu ya Warioba for the most part ni ujinga ambao nchi ilichezea hela tu; na huyo Warioba mwenyewe leo ni upuuzi tu sio sehemu ya fikra za mabadiliko vijana wanayotaka. If anything huyo babu ale pension yake tu.
 
Ndio maana ni mchezo wa wanasheria, shida hapo ni organisation structure aikuwa na balance.

Na Ndio maana tunatakiwa kusoma republic na kuelewa Plato’s ship allegory huo ndio msingi wa aspect wa ‘organisation section’ kwenye katiba. Na ndio leo anachofanya Trump US unaona kumbe US security ni weak.

Raisi kama Trump EU kutokea leo chances ni ndogo sana, sina uhakika kwa EU yote Iła U.K. ni zero wana namna zingine za kupambana na kero za Trump hasa maswala ya uhamiaji.

Trump ame expose US hawana strong security bila ya allies wake wa EU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…