Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Demokrasia ni kitu kibaya sana kwa binadamu. Ni kama kujenga ukommunisti. Vinasound good na humane kwenye makaratasi, kiuhalisia ni vitu hatari kwa ustawi wa binadamu.Pamoja na kazi nzuri ya kufasiri kazi ya Plato, lakini huyo Plato alikuwa akielimisha zaidi kuhusu utawala wa kimabavu kutoka kwa kiongozi mwenye kuhodhi mamlaka (totaritarian) zote dhidi ya wale wanotawaliwa.
Na pia alikuwa akilalia zaidi kwa upande wa siasa za nchi za magharibi.
Lakini moja ya mambo ya muhimu kabisa kwa hayati Mwalimu Nyerere na kazi za Plato ni kufuata mawazo (ideas) ya Plato kwamba wajenga mfumo mzuri wa sheria na haki na usawa katika jamii unoiongoza na hapo ndo tumeona jinsi alivyoweza kuunda mifumo kadhaa chini ya uongozi wake kuanzia mahakama, bunge, ulinzi na usalama hadi kwenye mfumo wa chama kimoja ambao ulimwezesha kutawala kirahisi kwasababu alikuwa ana "access" ya kufahamu nani ni nani na nani kasema nini.
Na hilo ndo linotusumbua leo kwa haya tunoyaona yanotokea nchini kwa sasa.
Hivyo Plato sidhani kama alikuwa ni mtu sahihi wa kufuata na kuyatumia au kuyaiga kila aloyaandika kwani yapo ambayo leo hii yatatiza kuyafuata.
Kuna mmoja wa wakosoaji wazuri tu wa kazi za Plato aitwa Karl Popper alieandika kitabu chake kiitwacho "The Open Society and Its Enemies"alokiandika mwaka 1945. Popper amedai kwamba Maandishi ya Plato ni ya yale yaitwayo Dystopia yaani kinyume na Utopia kwamba Plato hakuwa akiamini katika demokrasia na ubinadamu kwani alikuwa aliamini katika kuhodhi madaraka na kuunda utawala ulowakandamiza wale watawaliwa.
Popper pia amemtofautisha Plato na Socrates kwamba Socrates ndiye aliefaa kuigwa kwa kazi zake za kuhoji khasa mawazo ya Plato.
Ni kitu kibaya kama hakieleweki kwa watawala na watawaliwa au kwa makusudi hawataki kuitumia.Demokrasia ni kitu kibaya sana kwa binadamu. Ni kama kujenga ukommunisti. Vinasound good na humane kwenye makaratasi, kiuhalisia ni vitu hatari kwa ustawi wa binadamu.
Ndio ujue mimi kumtwanga taahira yoyote humu jukwaa la siasa ni dakika moja.
Miaka mingapi sasa nawaambia asilimia kubwa ya wengi wenu humu amjasoma, hata elementary level ya political books. And yet you are trying to bring political philosophy arguments which you haven’t grasp even the basic.
Plato’s Republic ambacho nimekuwa nikihimiza lazima civil servants wakielewe hasa, his ship allegory ni ‘advanced civil service’ management.
Ndio uelewe navyosema nadili na mataahira mara nyingi na usalama wa taifa mchezo wa watu wa wenye akili we mean it.
And this is just basic knowledge kwa dunia ya wazungu.
This is why you can easily predict, siasa za Tanzania.
Just shallow.
Ndio ukweli wenyewe
Waafrika twahitaji "The Age of Enlightenment" yetu.Ndio maana ni mchezo wa wanasheria, shida hapo ni organisation structure aikuwa na balance.
Na Ndio maana tunatakiwa kusoma republic na kuelewa Plato’s ship allegory huo ndio msingi wa aspect wa ‘organisation section’ kwenye katiba. Na ndio leo anachofanya Trump US unaona kumbe US security ni weak.
Raisi kama Trump EU kutokea leo chances ni ndogo sana, sina uhakika kwa EU yote Iła U.K. ni zero wana namna zingine za kupambana na kero za Trump hasa maswala ya uhamiaji.
Trump ame expose US hawana strong security bila ya allies wake wa EU.
Ila iwe ni kwa kuanzia O Level na kwenda Form Six, ambapo unakuwa waandaa future Leaders.Kitabu hili kitumike mashuleni kote
Ni mbaya tu yenyewe kama yenyewe, hata watu waielewe vipi. Umewahi isikia Iron Law of Inevitable Oligarchy? Kwamba taasisi zote za kidemokrasia mwisho wa siku lazima zitakuwa oligarchy!Ni kitu kibaya kama hakieleweki kwa watawala na watawaliwa au kwa makusudi hawataki kuitumia.
Na demokrasia huanza kwenye ngazi ya chini kabisa mitaani kwetu (local democracy) kabla ya masuala mazito ikiwemo kura ya maoni na chaguzi huru zinosimamiwa na tume huru
Ni kweli hiyo ni nadharia ambayo imekuwa "proved" kwa taasisi kama ulivyosema na si nchi kwa ujumla.Ni mbaya tu yenyewe kama yenyewe, hata watu waielewe vipi. Umewahi isikia Iron Law of Inevitable Oligarchy? Kwamba taasisi zote za kidemokrasia mwisho wa siku lazima zitakuwa oligarchy!
Leo Marekani demokrasia yao imetekwa na maoligarchs wakina Elon na Murdoch . Na hapa kwetu, na demokrasia yetu hii hii wameanza kuteka mfumo. System ambayo mwisho wake ni kuwanufaisha matajiri wachache ni imeoza tokea ndani na haifai hata kuijaribu. Ni kama kuunda ukomunisti, mwisho wake ni majanga tu.
Siyo tu taasisi. Hata kwa nchi inatokea. Nimekupa huo mfano wa US. Hata mkifanya mapinduzi na kujenga upya demokrasia, baada ya muda maoligarchs wataiteka tena nchi. Hizi system za utawala mkuu hazina iliyo bora saana, zinaamuliwa tu na mfumo wa uchumi wa wakati huo. Democracy ilikuja baada ya aristocracy. Yaani baada ya mfumo wa uchumi kubadilika kutoka ukabaila kuja ubepari. Democracy ilifaa sana kuwainua mabepari wa mwanzo. Leo hii haifai tena. Inatuumiza kwa maslahi ya wachache.Ni kweli hiyo ni nadharia ambayo imekuwa "proved" kwa taasisi kama ulivyosema na si nchi kwa ujumla.
Na mfano ni CCM kama taasisi (maana sio chama cha siasa tena ukiangalia tabia zake au behaviour) kuna changamoto mbalimbali humo ndani yake ambazo wao kwa wao bado washindwa kuzidhibiti. Kilotokea kuamua mgombea apitishwe bila kufuata katiba ya chama na taratibu zote, ni dhahiri uwa humo ndani kumetokea Law of Oligarchy.
Ndo maana katika nchi ni ikitokea hao Oligarchs wamefanya hivyo basi ni lazima kutokee mapinduzi ili kuwaondoa.
Hata kama itaonekana wamedhibiti kila kitu lakini ni lazima itatokea kuwepo mapinduzi.
Wewe umebakiza kuvua nguo tu, na kukimbia utupu barabarani, huna jingine lolote la maana.Ndio ujue mimi kumtwanga taahira yoyote humu jukwaa la siasa ni dakika moja.
nafasi ya kuisoma falsafa
Njia mojawapo wa kuwasaidia watoto na kisha jamii pana ya watu wazima kuwa na uwezo wa kutizama mambo na kuhoji ili kupata majibu na hekima ni kwa kusoma vitabu mbalimbali vyenye visa na mikasa mbalimbali kuanzia Alfu Lela Ulela, Sungura Mjaja, Abunuwasi, Jamhuri ya Plato, Rosa Mistika, majukwaa ya JamiiForums n.kRosa Mistika - There is a Swahili Studies scholar named Roberto Gaudioso, who’s based out of University of Naples “L’Orientale.” In a memorial to Kezilahabi that appeared in the scholarly journal Swahili Forum, shortly after Kezilahabi’s passing, Gaudioso wrote: “a few months after its publication, the government banned Rosa Mistika due to its content which was considered controversial, especially by officials of the Catholic Church.” But in his monograph on Kezilahabi, The Voice of the Text and its Body, Gaudioso suggests an additional layer to what made the novel so controversial. “The fundamental problem, according to [Kezilahabi’s] detractors,” he writes, “is that the narrator does not judge the protagonist, otherwise the novel would have been accepted easily.”