Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 450
- 3,368
Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo kufanya orodha ifikie watu 145.
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
Tutegemee orodha hii kuongezeka zaidi?
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
Tutegemee orodha hii kuongezeka zaidi?