Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,667
- 11,760
Right. Wameota mapembe hawasikii la mwadhini wala la mnadi swalaHAPO NI KUONGEZA TATIZO.mfundisheni maana ya suluhu ya KITAIFA.anayotaka kuihubiri aijue.sio kukaa na visasi na vinyongo
Right. Wameota mapembe hawasikii la mwadhini wala la mnadi swalaHAPO NI KUONGEZA TATIZO.mfundisheni maana ya suluhu ya KITAIFA.anayotaka kuihubiri aijue.sio kukaa na visasi na vinyongo
Alikuwa anasifiwa kwa kuwa na hofu ya Mungu ila sasa nadhani ameona kwamba kuwa na hofu ya Mungu ni kitu ambacho hakina maana.samia nae alikua mpole sana
nikikumbuka alikua anenda mpaka mikutano ya chadema wanawakeAlikuwa anasifiwa kwa kuwa na hofu ya Mungu ila sasa nadhani ameona kwamba kuwa na hofu ya Mungu ni kitu ambacho hakina maana.
Mambwabwa mnawashwa mno kipindi hikiHata buku watafika
Tunaitaka TanganyikaWanaweza kufika 200. Bado mapema sana.
Wakina nani waliletewa maridhiano?! unaweza kuwataja? Walikuwa wanaridhiana nini?Suluhu mnaijua nyinyi,mliletewa maridhiano,mkaleta ujuaji
Nimeza ili nimshughulikie mama yako apate mimba niwe baba koUmemeza dawa zako za kichaa?
Masheikh wanamtetea kwa nguvu zote muislamu Samia ila ajabu nasikia mmoja wa hao masheikh nae kauliwa na serikali hiyo hiyo ambayo wanamtetea kiongozi wake.Shetani hana rafiki wakiwamaliza hawa chawa ndio next victims. Sakata la Mheshimiwa Polepole lilipaswa liwe somo kwenu, kuna siku watakuambia inama tukupake mate
Huwezi kuamini kama ndio yeye yuleyule.nikikumbuka alikua anenda mpaka mikutano ya chadema wanawake
Wanautamani sanaUhaini na ugaidi usiokuwepo unatajwa sana siku wakiuona kabisa nadhani watabadili tafsiri.
Wanautamani sana
Ndugu zako haoSidhani kama hilo ni suluhisho kabisa. Huu ni ujinga sana wanafanya.
Nyie makocho mnatuletea uchaguzi feki huku mkituteka kwani hii nchi ni mali yenu binafsi!? Ngese nyie.serikali haijaribiwi mzee, magufuli hakua na maridhiano mama ndo aliingia kufanya maridhiano madhara yake wakaona ni legelege
Polepole hakutekwa,haiwezekani mchirizi wa matone ya damu yawe na ukubwa unaolingana,halafu pale walimbebaje,mbona nafasi toka mchirizi hadi ukutani haitoshi mtu kupita?