Weka mkeka wa hao wengine tuuone piaBaada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo kufanya orodha ifikie watu 145.
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
Tutegemee orodha hii kuongezeka zaidi?
Tulieni,dawa iingieSidhani kama hilo ni suluhisho kabisa. Huu ni ujinga sana wanafanya.
alifanya ivo magufuli alivoondoka wakampanda kichwanHAPO NI KUONGEZA TATIZO.mfundisheni maana ya suluhu ya KITAIFA.anayotaka kuihubiri aijue.sio kukaa na visasi na vinyongo
Suluhu mnaijua nyinyi,mliletewa maridhiano,mkaleta ujuajiHAPO NI KUONGEZA TATIZO.mfundisheni maana ya suluhu ya KITAIFA.anayotaka kuihubiri aijue.sio kukaa na visasi na vinyongo
Maridhiano gani aliyoyaleta?Suluhu mnaijua nyinyi,mliletewa maridhiano,mkaleta ujuaji
Magufuli alifanya maridhiano gani?alifanya ivo magufuli alivoondoka wakampanda kichwan
Asante studio!! Na washitakiwe na kuhukumiwa kweli ili watu wajifunze kuheshimu nchi! Watu walileta mchezo sana na uhai wa JMT!Baada ya kuwafikisha Mahakama ya Kisutu leo watanzania 98 akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin (Niffer) kwa mashtaka ya Uhaini, Jamhuri imeongeza idadi ya watuhumiwa wengine wapya 47, hivyo kufanya orodha ifikie watu 145.
Soma Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025
Tutegemee orodha hii kuongezeka zaidi?
Umemeza dawa zako za kichaa?Halafu eti tukae ndani Hawa watu wanyongwe nyie
Hizi umbwa zimezamilia kutumaliza wakuu
Tukeni ndani tarehe 9/12 Choma makazi ya wabunge, madiwani, machawa na mapolisi wapumbavu mpaka kieleweke.
Shetani hana rafiki wakiwamaliza hawa chawa ndio next victims. Sakata la Mheshimiwa Polepole lilipaswa liwe somo kwenu, kuna siku watakuambia inama tukupake mateWell in good
Kama hujui basiMaridhiano gani aliyoyaleta?
serikali haijaribiwi mzee, magufuli hakua na maridhiano mama ndo aliingia kufanya maridhiano madhara yake wakaona ni legelegeMagufuli alifanya maridhiano gani?
Hapa nazungumzia maridhiano ya kitaifa sio na vyama vya siasa bali wananchi wake.wakichoka hawatasubiri kuambiwa waandamane watatoka tu