GE2025 Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Shetani hana rafiki wakiwamaliza hawa chawa ndio next victims. Sakata la Mheshimiwa Polepole lilipaswa liwe somo kwenu, kuna siku watakuambia inama tukupake mate
Polepole hakutekwa,haiwezekani mchirizi wa matone ya damu yawe na ukubwa unaolingana,halafu pale walimbebaje,mbona nafasi toka mchirizi hadi ukutani haitoshi mtu kupita?
 
Dah! Hapo msoto si chini ya miaka mitano ndiyo hukumu inatoka tena kama ni Kibatala mapingamizi kila siku yanavuta muda!!
 
Hahah

Kwaiyo na walioua ni haki yao kuua? Kwaiyo haya ndio maelezo aliyopewa pia yule Johari
 
Wakati wana-deal na hao pia wapitie wale waliokuwa wana-shoot to kill
 
serikali haina kazi ya kufanya ngoja tuone mwisho wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…