GE2025 Jamhuri yaongeza wengine 47 kwenye kesi ya Uhaini baada ya Maandamano Oktoba 29, idadi yafikia watu 145

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa ni wakati wa TLS kufungua kesi dhidi ya IGP, Mafwele na DGIS wa TISS kuhusu watu walio uawa.

Kwa sababu ushahidi wote upo
 
Hawana jela za kukamata na kufunga wote walioandamana. Tusidanganyane.

Vijana msikatishwe tamaa. Endeleeni kupambania future yenu kwa njia na jinsi mnavyoona nyie ni sahihi.
 
Embu mtu atype hayo majina. Hizi nyakati ni ngumu, siyo za kufungua na kudownload vitu hovyo mitandaoni.
 

Aisee, hii nchi kweli kuna dhuluma sana tena kubwa sana.

Huko tunakoelekea tutakuwa tunaishi kama vile tuko Afghanistan.
 
Hii ni deflection. Wanahangaika kujaribu kubadilisha ile subject ngumu ya massacre ya raia iliyofanywa na Serikali dhalimu.
 
Hao mashujaa,wachonga barabara and all fallen soldiers.vizazi vyetu vitawakumbuka..

society grows great when old men plant trees whose shade they know they shall never sit in...
 
Watawakamata sana, ila hiyo haizuii ukweli kuwa Samia ni rais haramu. Na hiki anachoagiza kifanyike hakitafanya awe rais halali kwa umma. Na tukirudi kwa maandamano mengine hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Samia amechagua kuondoka madarakani kwa njia ya fedheha kubwa .
 
Safi sana
Watanganyika ukiwachekea wanakuona zombie.
Upuuzi alioufanya Magufuli lakini hakuna mtu alipeleka pua kuandamana maana alijua tu kuwa Magufuli hapendi mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…