Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifunze kuandika then ujeANZISHA YA KWAKO UITE JINA HILO.TUPO WENGI AU KWASABABU WASUKUMA HAMPO WENGI NA KATI WAHUNI AMBAO NASHANGAA SIJUI UMEJUAJE HUU MTANDAO WETU WA KIJANJA NI WEWE.WEWE ULITAKIWA UBAKI INSTAGRAM,FB NA MAGAZETI YA UDAKU NA MAGROUP YA WHATZUP YA WAGANGA WA KIENYEJI
Huu Mtandao unatumiwa hadi na watu wa Nchi nyingine, Ukiuita Tanzania Forum...utakuwa unawanyanyapaa Mataifa mengine.Aman iwe nanyi wapendwa
Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya
Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa tf
Yaan kutoka JAMII FORUMS IWE TANZANIA FORUM
Je ushawah kujiuliza kwanini watu weng hawaijui jf? ni kwasababu ya jina hili jina ni baya sana na halina hadh na halijaa kaa kimtandao unaotumiwa na washusha nondo za uhakika
Jamii forum unaokena kama mtandao wa wahun kulingan na jina limekaa kihun hun sana
Ni vigumu sana kwa mtu wa nje kuingia jamii forum kwa sababu ya jina
Lakin ni rahis sana kwa mtu wa nje kufuatilia TANZANIA FORUM, hata kama ni mtu anapita pita mtandaon ni rahis sana kufutilia jina linaloitwa Tanzania forum kuliko jamii forum
Uchawi ni akili yako mwenyewe hapa tumejiroga wenyewe ndo maana jamii forum haijulikan
Pitaa kitaan ulizia kama kuna watu wanatumia jamii forum? Hautawapata kwa sababu jina limekaa kisela sela sana yaan jina halija kaa kimtandao
Ni hayo tu jamii forum ibadilishwe jina ili uwe mtandao wa nchi nzima na watu wote waujue. Mtandao wetu unazidiwa umarufu na blog ya malunde na milard ayo
LONDON BABY
Kajifunze kuandika then uje
Imebidi niangalie profile yako kwanza kabla sija-comment,dogo acha dharau hili jukwaa limekuwepo na kwa jina hili hili muda mrefu na hapa mlikuwa na watu vichwa hasa ila wame-pause kushusha nondo humu baada ya jukwaa kuvamiwa na tutoto twa 2000's{nahisi na wewe upo}.JamiiForums ni jina zuri kwanza kwa kiasi fulani linakitangaza kiswahili acha libaki hivi hivi kama lilivyo.
Mkuu kama tulibadirisha kutoka jambo hata kutoka jamii kwenda tanzania inawezekanaImebidi niangalie profile yako kwanza kabla sija-comment,dogo acha dharau hili jukwaa limekuwepo na kwa jina hili hili muda mrefu na hapa mlikuwa na watu vichwa hasa ila wame-pause kushusha nondo humu baada ya jukwaa kuvamiwa na tutoto twa 2000's{nahisi na wewe upo}.JamiiForums ni jina zuri kwanza kwa kiasi fulani linakitangaza kiswahili acha libaki hivi hivi kama lilivyo.
Poa Poa mkuu lakin napenda tuendelee kuwa pamojaMod rudisheni ignore button nimechoka sasa Na fikra za mwana JamiiForums mwenzangu Beira Baby Boy
Asante sanaKusema Jamii Forums imekaa kihuni huni hapo nadhan umepotoka. Ila wazo la kuita Tanzania Forums ina make sense lakini kusema Jamii Forums imekaa kihuni, nasema no. Jamii ni neno pana,na haliwez kuwa ni jina linaloashiria uhuni.
Hatuendani kifikra Mzee, zamani kulikuwa Na ignore button, ingekuwepo Leo ningeibofya nisione tena post zako.Poa Poa mkuu lakin napenda tuendelee kuwa pamoja
Hahaaaa jinyonge tu mkuu hakuna namnaHatuendani kifikra Mzee, zamani kulikuwa Na ignore button, ingekuwepo Leo ningeibofya nisione tena post zako.
All in all Maxence Melo a.k.a Invisible naomba unisaidie mabandiko ya huyu Bwana nisiyaone Wala nisiyapate
Ndio wee niite utakavyo lakini sitaki kuziona post zako kwangu nataraji Moderator anafanyia kazi rai yanguHahaaaa jinyonge tu mkuu hakuna namna
Mimi nafuatiliwa na maelf ya member wewe mpuuz mmoja huwez niumiza kichwa