Jamii forums ibadilishwe jina iwe TANZANIA FORUMS

Jamii forums ibadilishwe jina iwe TANZANIA FORUMS

ANZISHA YA KWAKO UITE JINA HILO.TUPO WENGI AU KWASABABU WASUKUMA HAMPO WENGI NA KATI WAHUNI AMBAO NASHANGAA SIJUI UMEJUAJE HUU MTANDAO WETU WA KIJANJA NI WEWE.WEWE ULITAKIWA UBAKI INSTAGRAM,FB NA MAGAZETI YA UDAKU NA MAGROUP YA WHATZUP YA WAGANGA WA KIENYEJI
Kajifunze kuandika then uje
 
Kumbe bado haujabadirika pamoja na kuomba tukuchane hii ni post ya 3 nahisi naisoma heshima yako baby boy
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Tunaelekea mwisho wa mwaka ili tuingie mwaka mpya

Mimi hapa sijaja kupiga porojo lengo langu ni moja tu nauomba uongoz wa jf ubadilishe jina la jf kutoka juwa jf na kuwa tf

Yaan kutoka JAMII FORUMS IWE TANZANIA FORUM

Je ushawah kujiuliza kwanini watu weng hawaijui jf? ni kwasababu ya jina hili jina ni baya sana na halina hadh na halijaa kaa kimtandao unaotumiwa na washusha nondo za uhakika

Jamii forum unaokena kama mtandao wa wahun kulingan na jina limekaa kihun hun sana

Ni vigumu sana kwa mtu wa nje kuingia jamii forum kwa sababu ya jina

Lakin ni rahis sana kwa mtu wa nje kufuatilia TANZANIA FORUM, hata kama ni mtu anapita pita mtandaon ni rahis sana kufutilia jina linaloitwa Tanzania forum kuliko jamii forum

Uchawi ni akili yako mwenyewe hapa tumejiroga wenyewe ndo maana jamii forum haijulikan
Pitaa kitaan ulizia kama kuna watu wanatumia jamii forum? Hautawapata kwa sababu jina limekaa kisela sela sana yaan jina halija kaa kimtandao

Ni hayo tu jamii forum ibadilishwe jina ili uwe mtandao wa nchi nzima na watu wote waujue. Mtandao wetu unazidiwa umarufu na blog ya malunde na milard ayo

LONDON BABY
Huu Mtandao unatumiwa hadi na watu wa Nchi nyingine, Ukiuita Tanzania Forum...utakuwa unawanyanyapaa Mataifa mengine.
 
upo sahihi kabisa kuna watu wamevamia hili jukwaa hawapaswi kuwa hapa a huyu Beira ni mmoja wao
Imebidi niangalie profile yako kwanza kabla sija-comment,dogo acha dharau hili jukwaa limekuwepo na kwa jina hili hili muda mrefu na hapa mlikuwa na watu vichwa hasa ila wame-pause kushusha nondo humu baada ya jukwaa kuvamiwa na tutoto twa 2000's{nahisi na wewe upo}.JamiiForums ni jina zuri kwanza kwa kiasi fulani linakitangaza kiswahili acha libaki hivi hivi kama lilivyo.
 
Kwani imetengenezwa na Tanzania?
Hujui wenye nchi hawaitaki jf?
Achana na wenye nchi inatakiwa ivuke mipaka na watanzania wanyonge wajivunie kuwa na mtandao wao
 
Jina si tatizo!Tuombe mabadiliko kwenye "content"..Mijadala ya kitoto itolewe ili JF ilete heshima.. Fake news pia zisipewe nafasi, mtu atakayeleta habari ya uongo apigwe ban ya maisha
Tuanze na jina then hayo yafuate
 
Imebidi niangalie profile yako kwanza kabla sija-comment,dogo acha dharau hili jukwaa limekuwepo na kwa jina hili hili muda mrefu na hapa mlikuwa na watu vichwa hasa ila wame-pause kushusha nondo humu baada ya jukwaa kuvamiwa na tutoto twa 2000's{nahisi na wewe upo}.JamiiForums ni jina zuri kwanza kwa kiasi fulani linakitangaza kiswahili acha libaki hivi hivi kama lilivyo.
Mkuu kama tulibadirisha kutoka jambo hata kutoka jamii kwenda tanzania inawezekana
 
Kusema Jamii Forums imekaa kihuni huni hapo nadhan umepotoka. Ila wazo la kuita Tanzania Forums ina make sense lakini kusema Jamii Forums imekaa kihuni, nasema no. Jamii ni neno pana,na haliwez kuwa ni jina linaloashiria uhuni.
Asante sana
 
Hatuendani kifikra Mzee, zamani kulikuwa Na ignore button, ingekuwepo Leo ningeibofya nisione tena post zako.
All in all Maxence Melo a.k.a Invisible naomba unisaidie mabandiko ya huyu Bwana nisiyaone Wala nisiyapate
Hahaaaa jinyonge tu mkuu hakuna namna

Mimi nafuatiliwa na maelf ya member wewe mpuuz mmoja huwez niumiza kichwa
 
Huna hoja, jamii forum ni jina zuri sana tena sana na limekaa ki Afrika mashariki zaidi.

Kwanini jamii forum sio mashuhuri sana mitaani? Sababu kuu ni 2 tu.
1 Si simu yoyote mtu anaweza kuitumia Ku log in jf. Simu ambazo sio smart phone zinasumbua sana Ku log in hata mtu akiwa na account tayari. Mpaka sasa bado watu wasiotumia smart phone ni wengi sana katika nchi hii.
2 Mtandao wa jamii forum sio forum ya kuuzia sura hivyo watu humu wanatumia fake ID ili wasijulikane lakini hiyo mitandao mingine watu wengi ID zao ziko wazi sasa watu wengi hutumia nafasi hiyo kuuza sura kwa kupost picha nyingi sana ili wasifiwe wamependeza.

Wengi wanaokuja humu ni wale wanaosaka habari na matukio yanayotokea Dunia nzima sasa watu wa haina hii bado ni wachache sana Africa. Watumiaji wa fb wengi hata taarifa ya habari katika TV na radio ni mpaka walazimishwe zaidi ya hapo ni muziki tu.

Watu wasiofahamu kiswahili hawezi kuipenda jf kwani watumiaji wengi wa mtandao huu ni waswahili.
 
Back
Top Bottom