sangaone98
Member
- Apr 16, 2024
- 77
- 107
Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka.
Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+
Kwasababu leo hii jamiii yetu imejikita hasa kwenye kumsaidia zaidi kijana wa kike na hii imemdhoohofisha kijana wa kiume hasa kwenye upande wa uchumi.
Pia jamii imesahau ya kwamba kumuinua mtot wa kiume ndio nguzo kubwa ya familia kiujumla pamoja na kupunguza swala la single mother ambalo linashika kasi sana saiv kwenye taifa,
Kwenye utafiti wangu mdogo nilio ufanya nimetambua ya kwamba kuna wimbi kubwa la vijana ambao wanategemewa na familia zao lakin hawapo vizuri kiuchumi na hata wakijalibu kufanya kitu hakisapotiwi na jamii kama ilivyo kwa kijana wa kike.
Mwishowe vijana wengi wanaishia kwenye ulaibu wa madawa na pombe kali kama sehemu ya kupoteza mawazo sio kwamba hawana mawazo ya kufanya kitu kilicho bora apan bali hata wakijalibu kufanya hawapat sapot ya kutosha kutoka kwa jamii inayo wazunguka.
Pia hata vijana wa kike wao hawaamini kama vijana wa kiume wanaitaji kusapotiwa kwenye jamii bali wanaamini kwamba kijana wa kiume hawezi kuwa na changamoto ya kiuchumi kama ilivyo kwao
Na ndiomaana hata mahusiono yamekuwa yanaangalia pesa zaidi kutoka upande wa kijan wa kiume ambaye hana saport kabisa ya kiuchumi.
Ahsanteni.