Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

Nishapita huko naelewa sana mkuu. Demu kakiri anampenda jamaa na hajari hali yake kwasasa na jamaa nae kakiri kuwa anampemda demu. Demu ni lazima aende chuo hakuna alternative nyingine and the guy is psychological tortured because he is ain't in a position to change the situation sasa huu ni ujinga kuwaza kitu ambacho huwezi kukifanya kwasasa. Ndiomana namwambia ili aweze kuyaacomodate hayo yote aendelee kufanya vibarua vyake huku akitafuta ajira akifanikiwa hofu aliyonayo itapotea na mambo yataenda vizuri.
Umemshauli vizuri sana broh
 
Miaka 30 bado mtoto sana
Bill gates alioa akiwa na miaka 40
Jitulize..achana na haraka..

Binti nenda nae hadi itakavyokuwa..
Usianze fanya maamuzi Kwa hofu
Jamaa ana ofu na umri pia na watoto, na ndoa hapo lazima upagawe kaka ata ungekuwa wewe
 
Mm nin 34 had sasa cjaoa na. Sijui nitaoa Lin mamb Ni mengi nafanya vibarua kupata pesa ila mungu asimame mwakani nioe nitauza hats kiwanja changu nipate hela za kuoa mnk wazaz hawnielewi kbsa. Hvy nitauuzakiwanja kimoja nipate pesa za kutoa mahar na Pete ipatikane ..kuhusu demu nafikiri kumtafuta .wingine mnk nilianee. Kwao wako vxr ila wanazarau hvyo ctamuezaa
Kijn pmbna watu kazkzn wanataka pesa sana wazaz Kama huna pesa watakuzarau
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida iko kwako, tena iko kubwa sana.
Hapa nitakusaidia kujua tatizo lako na ujipange kulitatua.

-Una juhudi kubwa za kupambana na maisha lakini bado hujaweza kujitambua. Na hili ndio linaharibu uwezo wako wa kuamua.

-Hujiamini na huamini kile unachokiendea lakini bado unang'ang'ania kukifanya.

USHAURI WANGU KWAKO ni huu, kwa sasa tulia na pambana kupata pesa ili ujenge maisha, hayo ya mapenzi na kuoa yapotezee kwa sasa, maana wewe mwenyewe unakiri kuwa ndoa kwa sasa huwezi na level ya binti unayetaka kumuoa huiwezi. Sasa unataka nini zaidi?
 
Katika maisha unatakiwa kuwa na msimamo na ufuate kile wewe mwenyewe unaona kinafaa kulingana na mazingira yako . imekuwa kawaida watu kusema ndoa inaleta baraka lkn kwa maono yangu ndoa italeta baraka pale MTU kwa utashi wake ataona ni wakati muafaka kwake kuoa na sio kuoa kwa kushinikizwa na jamii inayokuzunguka . lkn kwa vile huyu binti anangoja kwenda chuo ni vizuri ukaendelea kupambana kujikwamua kiuchumi na mpaka anamaliza utakuwa umefanikiwa. Mwisho kabisa mshirikishe sana Mungu .
 
Mkuu maisha bila muelekeo sahihi ni kupotea kabisa.

Ebu kaa jiulize unaka nini katika maisha yako.

Usiseme unataka kazi ukihisi ndo itakuwa mwisho wa changamoto.

Kinachokusumbua ni hofu.

1. Hofu ya kuachwa.
2. Hofu ya kutokuwa na kazi.
3. Hofu ya kukosa pesa.
4. Hofu ya mitazamo ya wazazi juu yako.
5. Hofu ya hatima ya maisha yako.
6. Hofu ya umri wako.

Mkuu hofu ni hali ya akili inayotengeneza hisia hasi katika maisha yako.

Chunguza maisha yako, tafuta kitu/lengo ambalo ni MUHIMU sana katika maisha yako, yape malengo hayo kipao mbele, tambua huwezi tatua matatizo ukiwa na hofu, jifunze kukubali na kuwajibika kwa kila hali bila kuwa na hofu.

Cha mwisho, jifunze kuyaendesha maisha, acha kuruhusu maisha yakuendeshe.

View attachment 1577677
 
Attachments

  • Screenshot_2020-09-22-11-56-43.jpg
    Screenshot_2020-09-22-11-56-43.jpg
    99.8 KB · Views: 5
kuna muda wasiwasi wako unaweza kuwa ndio maradhi yako halaf kuna muda wasiwasi huohuo unakua ndio akili

achana kuwaza ndoa ikiwahujajipanga, hakuna mzazi atataka kumuozesha mtu ambaye anabahatisha maisha

pambana mbaba usichoke kupambana mradi binti kasema atakusubiri bas muamini
Hahaaa halafu eti binti anamwambia haitaji pesa kwake ila apambane waishi maisha mazuri. Hivi hayo maisha mazuri yapo kweli bila pesa?
 
Hahaaa halafu eti binti anamwambia haitaji pesa kwake ila apambane waishi maisha mazuri. Hivi hayo maisha mazuri yapo kweli?
Hii ni roho ya kichawi acha kukatisha mwenzio tamaa
 
Na uwakika hii comment imemvunja moyo. Bro lets look on positivity, demu kashakiri wacha ngoma ichezwe sasa kwa demu kwenda chuo na mwana apambane kitaa. Siku yeyote atapata kazi na hizo hofu zilizomjaa zitabaki historia
Mtoa mada pambana mdogo wangu

Mkuu uyo ni kaka yako why umwite mdogo wangu? Ao ni kwasababu hana hela?
 
Mkuu uyo ni kaka yako why umwite mdogo wangu? Ao ni kwasababu hana hela?
Una uwakika gani kuwa kanizidi? Unanifahamu au wajua yeye kuwa kadanganya?
Mimi ni mkubwa kuliko umri alioutaja tena nimezidi miaka zaidi ya minne so namaanisha kumwita mdogo wangu na si kwa mtazamo ulionao wewe. Don't prejudice things next time
 
Relax
 
Dogo weka pembeni mambo ya ndoa, kwa uzuri ni kwamba yeye anaenda chuo ww pambana sana kutafuta maisha, pigana sana,. Mpaka yeye kuja kumaliza chuo Utakuwa umefikia level flani. Ndoa ni pasua kichwa usisukumwe na Upendo wa sasa ukakimbilia kuoa. Tafuta maisha kwanza halafu mengne yataendelea.
 
Jitahidi kusali sana, hii itaboost ujasiri wako na pia itakuongezea nguvu za kupambana pia hata maneno ya watu baki hayatakusumbua sana kwani siku zote tunaamini wakati wa Mungu ni bora zaidi.

Kuhusu huyu msichana najua anafahamu hali halisi uliyonayo kwa hyo msisitize kuwa utamuoa ila bado unajipanga
Pia jitahidi kuwa unampa matumaini huyo mwezio kuwa awe mvumilivu na ipo siku mambo yatakua sawa
Kinywa chako kisikauke maneno yenye kuleta matumaini
 
Hizo hofu zako usipojiangalia zitakusabibishia hata hizo nguvu zilizopo kidogo zikauke ..!

Achana na wanawake kama huna pesa ya ziada.Hakuna maisha ya kubahatisha nowdays!
 
Jitahidi kusali sana, hii itaboost ujasiri wako na pia itakuongezea nguvu za kupambana pia hata maneno ya watu baki hayatakusumbua sana kwani siku zote tunaamini wakati wa Mungu ni bora zaidi.

Kuhusu huyu msichana najua anafahamu hali halisi uliyonayo kwa hyo msisitize kuwa utamuoa ila bado unajipanga
Pia jitahidi kuwa unampa matumaini huyo mwezio kuwa awe mvumilivu na ipo siku mambo yatakua sawa
Kinywa chako kisikauke maneno yenye kuleta matumaini
Umempa ukweli
 
Back
Top Bottom