Umemshauli vizuri sana brohNishapita huko naelewa sana mkuu. Demu kakiri anampenda jamaa na hajari hali yake kwasasa na jamaa nae kakiri kuwa anampemda demu. Demu ni lazima aende chuo hakuna alternative nyingine and the guy is psychological tortured because he is ain't in a position to change the situation sasa huu ni ujinga kuwaza kitu ambacho huwezi kukifanya kwasasa. Ndiomana namwambia ili aweze kuyaacomodate hayo yote aendelee kufanya vibarua vyake huku akitafuta ajira akifanikiwa hofu aliyonayo itapotea na mambo yataenda vizuri.
Jamaa ana ofu na umri pia na watoto, na ndoa hapo lazima upagawe kaka ata ungekuwa weweMiaka 30 bado mtoto sana
Bill gates alioa akiwa na miaka 40
Jitulize..achana na haraka..
Binti nenda nae hadi itakavyokuwa..
Usianze fanya maamuzi Kwa hofu
[emoji23][emoji23][emoji23]Mm nin 34 had sasa cjaoa na. Sijui nitaoa Lin mamb Ni mengi nafanya vibarua kupata pesa ila mungu asimame mwakani nioe nitauza hats kiwanja changu nipate hela za kuoa mnk wazaz hawnielewi kbsa. Hvy nitauuzakiwanja kimoja nipate pesa za kutoa mahar na Pete ipatikane ..kuhusu demu nafikiri kumtafuta .wingine mnk nilianee. Kwao wako vxr ila wanazarau hvyo ctamuezaa
Kijn pmbna watu kazkzn wanataka pesa sana wazaz Kama huna pesa watakuzarau
Hahaaa halafu eti binti anamwambia haitaji pesa kwake ila apambane waishi maisha mazuri. Hivi hayo maisha mazuri yapo kweli bila pesa?kuna muda wasiwasi wako unaweza kuwa ndio maradhi yako halaf kuna muda wasiwasi huohuo unakua ndio akili
achana kuwaza ndoa ikiwahujajipanga, hakuna mzazi atataka kumuozesha mtu ambaye anabahatisha maisha
pambana mbaba usichoke kupambana mradi binti kasema atakusubiri bas muamini
Hii ni roho ya kichawi acha kukatisha mwenzio tamaaHahaaa halafu eti binti anamwambia haitaji pesa kwake ila apambane waishi maisha mazuri. Hivi hayo maisha mazuri yapo kweli?
Na uwakika hii comment imemvunja moyo. Bro lets look on positivity, demu kashakiri wacha ngoma ichezwe sasa kwa demu kwenda chuo na mwana apambane kitaa. Siku yeyote atapata kazi na hizo hofu zilizomjaa zitabaki historia
Mtoa mada pambana mdogo wangu
Una uwakika gani kuwa kanizidi? Unanifahamu au wajua yeye kuwa kadanganya?Mkuu uyo ni kaka yako why umwite mdogo wangu? Ao ni kwasababu hana hela?
RelaxUna uwakika gani kuwa kanizidi? Unanifahamu au wajua yeye kuwa kadanganya?
Mimi ni mkubwa kuliko umri alioutaja tena nimezidi miaka zaidi ya minne so namaanisha kumwita mdogo wangu na si kwa mtazamo ulionao wewe. Don't prejudice things next time
Am totally chilluxRelax
Umempa ukweliJitahidi kusali sana, hii itaboost ujasiri wako na pia itakuongezea nguvu za kupambana pia hata maneno ya watu baki hayatakusumbua sana kwani siku zote tunaamini wakati wa Mungu ni bora zaidi.
Kuhusu huyu msichana najua anafahamu hali halisi uliyonayo kwa hyo msisitize kuwa utamuoa ila bado unajipanga
Pia jitahidi kuwa unampa matumaini huyo mwezio kuwa awe mvumilivu na ipo siku mambo yatakua sawa
Kinywa chako kisikauke maneno yenye kuleta matumaini