Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

Mkuu kamwe usije thubutu kuuza eneo lako ,kwa mambo ya ndoa ,siku akija kukuudhi huyo mwanamke utajutia
 
Bila shaka unatokea mkoa wa kigoma,nilienda kusoma diploma kila kijana alkuwa ameoa na wapo chuo na wameacha wake zao nyumban,mim nna miaka 30 lakin wazazi wangu hasa baba huwa wanasema mim bado Mdogo pale iktokea mtu kawauliza kwann sjaoa
 
Bila shaka unatokea mkoa wa kigoma,nilienda kusoma diploma kila kijana alkuwa ameoa na wapo chuo na wameacha wake zao nyumban,mim nna miaka 30 lakin wazazi wangu hasa baba huwa wanasema mim bado Mdogo pale iktokea mtu kawauliza kwann sjaoa
una mtoto?
 
una mtoto?
Sina Mtoto,Niko makini kutumia kondom na kujua mienendo ya hedhi ya demu ninae kuwa nae,sometimes huwa nakuwa na mahusiano na wanawake wenye mimba ili nfaidi nyama nyama pasipo kuwa na shaka ya kutengeneza ujauzto
 
Sina Mtoto,Niko makini kutumia kondom na kujua mienendo ya hedhi ya demu ninae kuwa nae,sometimes huwa nakuwa na mahusiano na wanawake wenye mimba ili nfaidi nyama nyama pasipo kuwa na shaka ya kutengeneza ujauzto
kwaiyo matarajio yako kupata mtoto ni mwaka gani???? maana mwenzio hapo anadai kuwa umri unamtupa mkono na hana familia (mke wala mtoto)
 
kwaiyo matarajio yako kupata mtoto ni mwaka gani???? maana mwenzio hapo anadai kuwa umri unamtupa mkono na hana familia (mke wala mtoto)
Mtoto nahtaj mmoja tu kwa ajili ya kuwaonesha wanazengo kuwa nko vzur,kwahyo nazan nikifika 40 ndo utakuwa wakat mzur
 
Ni kweli mkuu lakini Kama umefika chuo utaelewa Nini namaanisha chuo Kuna stunts nyingi mnoooo ni Bora kumwambia ukweli ajiandae kisaikolojia

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Nakuunga mkono huo ndo uhalisia..Kama unampenzi Yuko chuo hakuna utachoambulia...jamaa angu pamoja na kumhudumia Dem wake na kumwambia siku akimsaliti atajiua lakini haikusaidia mpaka Sasa binti hataki mazoea nae keshakutana na mabishoo hakumbuki Tena..Ingekuwa mim ningempa mimba tu inshu ni mtoto ndoa c lazma saaana kwasisi wahangaikaji.
 
Kama nikiwa hai nitarudi ku-comment miaka mitatu ijayo, kwa sasa tuache binti afike chuoni kwanza. Chuoni kuna pilikapilika nyingi sana.

Ila

1. Nakuombea upate ajira na kipato.
 
Reactions: Cyb
Matatizo hutokea kwa sababu mbili, moja kufikiri sana bila kufanya maamuzi, pili kufanya maamuzi bila kufikiri.
 
Pole Mkuu... Sio yoote tunayopanga yatafanikiwa muda huo Huo. Endelea kufanya kazi kwa bidii huku ukimuomba Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi.

Hakuna kubwa kwa Mola
Safi sana mkuu. Tuzidi kupeana moyo katika safari hii ndefu ya maisha.
 
Oa mwanamke wa level yako ufurahie mapenzi, anasisitiza level yako
 
Steven kanumba

Love & power

Yaani hapo jiandae kulia mpaka ukaukiwe machozi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]

Sio kwamba Nina kupa pressure Bali ukweli ni kwamba mapenzi ya mtu masikini / fukara dhidi ya watoto wa kishua ya mekaa katka mfumo wa kamari kamari mnooo huyo akienda chuo Kuna asilimia kubwa Sana ya mapenzi yenu kuvunjika na kutoweka kabisa rate ya nyinyi kuweza ku- survive ni ndogo mnoooo ..


All in all Nakutakia Kila la kheri katika maisha Yako sometimes tunavyo waza ndivyo Huwa sivyo huwenda Dunia ika wavusha salama ktk changamoto zenu
 
Kukiri sio Sababu people's change ni Bora kumueleza pia negative side ilivyo Ili apunguze expection karibia members wote tuliopo humu jf tuliwahi kuwa na wapenzi na waliwahi kuweka viapo kuwa Wana tupenda na hawato tuacha lakini kilicho kuja kutokea Kila mtu anajua mwenyewe [emoji16][emoji16]

Ijapokuwa siwezi kukataa kuwa Kuna waliowahi kupitia situation kama yake but Waka survive na kudumu na wapenzi wao
 
Ulishawahi pendana na mtu then akaenda dar[emoji23][emoji23][emoji23]
MKuu,unafikiria Sana mkuu.eti ulishwahi Kua namapenzi kisha akasafiri kwenda dar???!!!! comment fikirishi nachonganishi Sana hii.
 
Kwanza Relax.
Achana kabisa na presha unazojiwekea au unazodhan anakuwekea kuhusu maisha mazuri.

Dance according to ur tune.Habar za kupata au kukosa maisha ni mipango yako according to what u think u feel wala usizihusianishe na mahusiano yenu.

Achana na kuwaza ur age mates wame achieve nini so far maana hata njia ulizopita mpaka ume acquire degree ni tofauti kabisa na wao so wala hamfanani yani so automatically hawapaswi kuw ur refference point japo kibinadam hili hutokea.

Acha kuwaza kuhsu ndoa kwa sasa.
Acha kuwaza kuhusu mahusiano mapya kwasasa.
Jikite katika kutafuta maisha.Ila usitafute maisha kwasababu ya huyo manzi tafuta maisha mazuri kwasababu everybody else including u , deserves better life.

Hayo tuu.Usisahau kuishi maana usije ukafikiri ukiteseka sana kwenye maisha basi ndio utafanikiwa , unaweza ukafa vile vile so pambana while living and enjoying ur life.

Hayo tuuu
 
Ngoja nikusaidie kukufumbuwa macho, binti anataka harusi na hataki ndoa, Sasa chaguo ni lako na wewe unataka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…