Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa.

Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu.

Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid tusingekuwa na vilio vya kukosa ajira kila kukicha
 
Back
Top Bottom