Jamii ipo hatarini, muziki wetu unatumaliza

Kuna songi moja la Tyga ukisikiliza clean version hutasikia chochote maana sauti itakata mwanzo mwisho. Huyo ni kiboko wa explicit hao wasafi wakasome.
 
Miziki yenyewe ina support ngono,kulana tigo ndomana wasanii sahv wa bongo Flava wanaume wako kama mapunga

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania...

Watu wamepewa assignment kuharibu jamii.

Na ndio nimekuwa nikiuliza humu ndani Ruge maisha yake yote amekuwa akijihusisha na kazi hizo, jamii inaelewa mchango wa mziki na media katika mmomonyoko wa maadili?

Tunajivunia kitu gani labda?

Naona watu wana MAHABA CHUMVI na vitu ambavyo haikupaswa.
 
Come to hip hop industry, trust me you won't hear such wack rhythmes

Sent using unknown device
Enzi zetu tuna sikiliza hip hop trucks
Wale wa mbele Pete rock,mob deep,most def,krs1,most def,smef n wessun,guru etc
Ukija bongo tu nawaskiaa hashim dogo,kucrew,imam abbas,watengwa,bonta,roho7,nikimbishi,xplastaz,sugu etc hpo hakuna kubana pua wala wavaa vikuku na shanga kiunoni ni msg tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nae harmonize anaimba "Inama nitumbukize rungu" , Diamond na anasema " Kilimaaa , kilimaa, kisimaa kisimaa, nazama ndani ya kisima"
 
Safi mkuu, watu wanapenda michezo ya amba hawataki hardcore
 
Public enemy, Dr Dre , heavy D & Boyz, big daddy Kane , naughty by nature, kriss Kross, miss Eliott, Colioo, onyx , etc
 
Hila ukiangalia Kwa makini hata wazee WA sasahivi nao hawakuwa na maadili kwani kashfa nyingi za wizi WA Mali ya umma zinawahusu wao
 
Serikali kupitia BASATA tunaomba mzifungie nyimbo zisizo na maadili mapema sana kabla ya hizo nyimbo kuzinduliwa na kusikika katika maredio na Televisheni.

Viongozi wa dini na Wazazi kwa ujumla pia mnaweza kukemea nyimbo hizi za hovyo.

Wasanii wa sikuhizi wameishiwa vya kuimba wanaimba Matusi tu hasa WCB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wakina Nikki Mbishi wameshindwa kutengeneza hip hop itakayowafanya na watu wengine wawasikilize mfano wakina Mobb Deep Give it Up walifanikiwa, M.O.P Ante Up, Wu Tang Clan, DMX, Eminem ila bongo hip hop wanajitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…