Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zetu tuna sikiliza hip hop trucks
Safi mkuu, watu wanapenda michezo ya amba hawataki hardcoreWacha waangamie tu maana video za hiphop si hamzi support mnataka kujenga vizazi vya wabana hips na kuvaa minyonyo kama ma Shawty! After 20 years nchi itakuwa na mashoga wengi mno kuliko tunavyofikiria.
Nyimbo za Nikki Mbishi, show zikipangwa hamuendi album hamnunui. Ila Tetema mnajazana ukumbini mpaka tiketi zinaisha eneo linakuwa out of capacity. Badilikeni nyie kwa kuzikataa nyimbo za hovyo.
Public enemy, Dr Dre , heavy D & Boyz, big daddy Kane , naughty by nature, kriss Kross, miss Eliott, Colioo, onyx , etcEnzi zetu tuna sikiliza hip hop trucks
Wale wa mbele Pete rock,mob deep,most def,krs1,most def,smef n wessun,guru etc
Ukija bongo tu nawaskiaa hashim dogo,kucrew,imam abbas,watengwa,bonta,roho7,nikimbishi,xplastaz,sugu etc hpo hakuna kubana pua wala wavaa vikuku na shanga kiunoni ni msg tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Cypress hill,onyx,big l,Dah we mzee unaonekana conciousPublic enemy, Dr Dre , heavy D & Boyz, big daddy Kane , naughty by nature, kriss Kross, miss Eliott, Colioo, onyx , etc
Miziki aina ya sasa inawafanya madogo wengi kuwa machkoMm nishaacha kusikiliza nyimbo za hovyohovyo na nyumbani kwangu nimepiga marufuku nyimbo za WCB.. Ni uaribifu wa maadili kila mmoja ailinde familia yake dhidi ya ili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wakina Nikki Mbishi wameshindwa kutengeneza hip hop itakayowafanya na watu wengine wawasikilize mfano wakina Mobb Deep Give it Up walifanikiwa, M.O.P Ante Up, Wu Tang Clan, DMX, Eminem ila bongo hip hop wanajitoa ufahamuWacha waangamie tu maana video za hiphop si hamzi support mnataka kujenga vizazi vya wabana hips na kuvaa minyonyo kama ma Shawty! After 20 years nchi itakuwa na mashoga wengi mno kuliko tunavyofikiria.
Nyimbo za Nikki Mbishi, show zikipangwa hamuendi album hamnunui. Ila Tetema mnajazana ukumbini mpaka tiketi zinaisha eneo linakuwa out of capacity. Badilikeni nyie kwa kuzikataa nyimbo za hovyo.