Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hebu tizama km huo mstari hadi unapata kigugumizi kuuimbaNalegeaaaa ikutana yangu na yako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tizama km huo mstari hadi unapata kigugumizi kuuimbaNalegeaaaa ikutana yangu na yako..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao wasanii wanaoimba hivyo ni watoto wa dawa (katka sauti ya Ģwajima)
Yani hao Basata wangeshirikiana na waasisi kuandaa mziki kama waliokuwa wanaimba wasanii wa mwanzoni ningeona wamefanya la maana. Mabadiliko yatakuwepo kwenye vionjo ila nyimbo iwe na maana flani katika jamii.Najishangaa siku hizi nimeshindwa kabisa kujua wasafi wanachoimba, mpaka nimejikuta automatically naanza kumshabikia nyanshisiki na kaligraph sijui nimepatia majina yao lakini naamini unawajua hawa wakenya
Hali imeanza hivi mdogo mdogo mashabiki wa tz wote tutahama na ndipo anguko kuu la bongo fleva litapowadia wasipobadilika basi kuinuka tena na heshima ya muziki iliyotengenezwa na marehemu Ruge(R I P) itapotea na itakuwa ni kazi ya kihuni kuliko ilivyokuwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna msichana wa kazi wa jirani yangu
Kabisa yaani watu kama mob deep kwenye bifu ile dhidi ya tupac zilitolewa ngoma kali za diss track ukiskiza punchline huwezi ukasinkiliza habari za kwangwaluEnzi zetu tuna sikiliza hip hop trucks
Wale wa mbele Pete rock,mob deep,most def,krs1,most def,smef n wessun,guru etc
Ukija bongo tu nawaskiaa hashim dogo,kucrew,imam abbas,watengwa,bonta,roho7,nikimbishi,xplastaz,sugu etc hpo hakuna kubana pua wala wavaa vikuku na shanga kiunoni ni msg tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh dangerKabisa yaani watu kama mob deep kwenye bifu ile dhidi ya tupac zilitolewa ngoma kali za diss track ukiskiza punchline huwezi ukasinkiliza habari za kwangwalu
Ukija bongo baba malcom anawaficha ile mbaya pamoja na p mawenge (p the mc), one incredible, songa nk ila fid q wazamani ndio alikua yupo kwenye hip hop culture, sio fid q wa saizi ambae anaimba michambo kama wakina gigy. Pia bongo kuna ma-underground wako vizuri watu kama wakina dizasta vinna, mbeya boy, kinya, matrix, nagwa the durago, boshoo ninja, nk wako wengi saana
Sent using unknown device
Yap bola wasikize hata trap za kina migos na 21 savage kuliko beach boi unasikiliza daina nyange, so sadKama hampendi ngumu basi sikilizeni hata trap, kuna watu kama kina Moni Centrizone, OMG, Jay Mo, Gosby mbona nyimbo zipo kali tu. Ila kwakuwa masikio yenu yapo open kusikiliza mapenzi tu mda wote basi kumekuwa hamna balance. Media zinasupport mziki wa mapenzi zaidi na ndio wengi mnapenda kusikiliza basi msilalamike matusi yamezidi maana mahadhi ya hiphop hamyataki.
wivu haujawahi muacha mtu salama!King wao wa matusi ya nguoni kipindi hiki kwenye mziki ni "almas". Matusi hayo yameniondolea ushabiki wa miziki yake, kuichukia na kuifuta kabisa nyumbani kwangu, marufuku kusikia hiyo takataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliolegeza mpaka wametengwa na jamii ya hip hop
Kuna msichana wa kazi wa jirani yangu
,yeye akiamka tu anaweka huo wimbo kweny sim yake,alafu sasa anashinda na kitoto cha miaka miwili yaan huyo mtoto akianza kuimba utasikia kucheka na kulia kwa wakat mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikitulia ntakujibuYani hao Basata wangeshirikiana na waasisi kuandaa mziki kama waliokuwa wanaimba wasanii wa mwanzoni ningeona wamefanya la maana. Mabadiliko yatakuwepo kwenye vionjo ila nyimbo iwe na maana flani katika jamii.
Sikiliza ngoma za prof jay, feruzi, nature, TMK na wengineo. They sang about real life issues za mtaani. Haikumaanisha hawakuimba mapenzi la hasha...waliimba ila kulikuwa na balance! Sasa sahivi kila msanii anaimba mapenzi, mara katendwa mara vile. Haya hao wasafi wameenda mbele zaidi wanaimba matusi kabisa kwa mfumo wa mafumbo na wanajaza kumbi na kuvuna hela kibao.
Inaniuma maana wasanii wa mwanzo hawakufaidika na kazi zao na wamepachikwa jina ni ma Legend ila Trust me ukipiga nyimbo kumi za Feruzi vs za Diamond you will probably feel the difference. Ila cha ajabu Feruzi anatembeza Samaki mtaani, Diamond yupo Zanzibar anatanua na malaya wake baada ya kufanya show kibao.
Jau sana askari wangu, yani inakera sana. Sio kuwa wasanii wanaoimba mziki tofauti hawapo ila Media ndio zinafanya wasisikike kutokana na interest zao binafsi. Na kwanini kwa wenzetu mtu anafaidika na ngoma hata alizofanya 90 huku kwetu tunawaita ma legend!Yap bola wasikize hata trap za kina migos na 21 savage kuliko beach boi unasikiliza daina nyange, so sad
Sent using unknown device
Wacha waangamie tu maana video za hiphop si hamzi support mnataka kujenga vizazi vya wabana hips na kuvaa minyonyo kama ma Shawty! After 20 years nchi itakuwa na mashoga wengi mno kuliko tunavyofikiria.
Nyimbo za Nikki Mbishi, show zikipangwa hamuendi album hamnunui. Ila Tetema mnajazana ukumbini mpaka tiketi zinaisha eneo linakuwa out of capacity. Badilikeni nyie kwa kuzikataa nyimbo za hovyo.
Kabisa yaani watu kama mob deep kwenye bifu ile dhidi ya tupac zilitolewa ngoma kali za diss track ukiskiza punchline huwezi ukasinkiliza habari za kwangwalu
Ukija bongo baba malcom anawaficha ile mbaya pamoja na p mawenge (p the mc), one incredible, songa nk ila fid q wazamani ndio alikua yupo kwenye hip hop culture, sio fid q wa saizi ambae anaimba michambo kama wakina gigy. Pia bongo kuna ma-underground wako vizuri watu kama wakina dizasta vinna, mbeya boy, kinya, matrix, nagwa the durago, boshoo ninja, nk wako wengi saana
Sent using unknown device
Jau sana askari wangu, yani inakera sana. Sio kuwa wasanii wanaoimba mziki tofauti hawapo ila Media ndio zinafanya wasisikike kutokana na interest zao binafsi. Na kwanini kwa wenzetu mtu anafaidika na ngoma hata alizofanya 90 huku kwetu tunawaita ma legend!
unaangalizishwa porno kupitia masikio.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaaani Ni pornal ya kusikilza inayojenga video kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app