Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

Wapi muzungu atengeneze movie ya ugomvi kati ya humanoi na hao reptoid!! Hii forum ina raha yake! (Just joking..)

Ingawa nimezaliwa kwenye familia inayoamini dini siwezi kupuuza theories nyingine eti kisa zinapingana na dini. Nitazisoma na kama zina maana nitaziamini.

Hii theory kama in ukweli fulana hivi nahisi ndio maana binadamu sie (drscendants wa Humanoid according to mtoa mada) tunafanya juu chini kusoma universe na kuangalia uwezekano wa maisha sayari nyingine kama Mars.
 

Unatakiwa uwe muwazi tunajua maagent si true tu Bali mko wengi unaweza kujifanya mchangiaji kumbe mwenzie mea sababu umekuwa mwepesi kumsapoti luxgsm ya kwamba hajajibu maswali yetu hapo juu hakuna cha humanoids wala reptonoids bali malaika waasi wakiongozwa na lucifer mwenyewe na wanasubiri hukumu yao na kwa wanajaribu kutafuta wary wa kwenda mal motoni na ili kufanikisha hilo wanasambaza uongo juu ya Mungu wa kweli kupitia mawakala wa kibinadamu ambao mmojawapi ni mtoa mada na walengwa ni wale wote wakaokubaliana nae. TAKE CARE
 
Miaka iliyopita kanisa lilimhukumu Gallilee kwa kueneza uongo kuwa dunia ndio inalizunguka jua... lakini leo wamegundua kati yao na galileo nani muongo, wapo walioamin kuwa mwezi ni mtakatifu lakini kuna walioenda na kuukanyaga na mabuti yao licha ya utakatifu wake.

kuna mwanafalsafa mmoja alisema... MWISHO WA UPEO WAKO WA KUFIKIRI NDIYO MWANZO WA MATATIZO YAKO, Na kuhusu kufikiri binadam tunatofautiana... na mtu yeyote mwenye uwezo wa juu wa kufikiri lazima apewe na jina maalum kama genous,mtume,nabii,mchawi,mungu,shetani n.k

Tatizo kubwa hapa dunian ni uwezo wa kufikiri tu ambao huwafanya masikin na matajir, wenye hekima na wapumbavu, viongozi na waongozwaji n.k
na wengi wao huangamia kwa kukosa maarifa...
 
 
Usitumie Jina la kanisa kuhalalisha UONGO. Kwa ufahamu wangu misingi ya kanisa ni biblia na si watu wanasema nini. Una ushahidi hilo kanisa la kale walitumia andiko gani la biblia kumpinga Galillee? Kama hawakutumia andiko bac usiseme ni kanisa bali yalikuwa mawazo yao binafsi kwa sababu nina yao haikutoka katika biblia .

Usijifariji kwamba ww nawe ni kama Galillee wa sasa kwa kuwa uongo wako umegonga mwamba. Huwezi kudanganya watu wazima kuwa shetani na jeshi aliloshuka nalo baada ya kutimuliwa mbinguni eti ndio waliopandikiza uhai ndani yetu na wakati shetani mwenyewe kaumbwa kama viumbe vyote na muda wake wa hukumu unamngoja katika ziwa la moto. Wewe kama unajua jibu maswalu ya hapo juu sio unakwepa unajifanya Galillee hapa.

Kuna malaika muasi anacontrol fahamu zako ndio maana huoni aibu kuwa wakala wa kusambaza uongo . TAKE CARE KUNA MOTO WA MILELE USIPOUEPUKA MAPEMA UTAINGIA PAMOJA NA LUCIFER HUKO KWENYE ZIWA LA MOTO. SALIMISHA MAISHA YAKO KWA MUNGU.
 
Mkuu kwa sasa hivi technology yetu duniani imeenderea, kwa nn tusipange safari ya kwenda kuwachukua hivyo viumbe vilivyotuumba na kuwaleta duniani wakasibitisha uumbaji wao. Hizi novel zingine kama LEGEND OF THE SEEKER.
 

Shetani ni nani mkuu?
 
Japo Duniani kuna Elimu nyingi sana Ila tuelewe kuna pande kuu mbili tu yaani GIZA na NURu. Tuna uhuru wa kuchagua. Ni vema kuzielewa vema pande zote mbili kisha kuchagua upande ulio sahihi. Ahsante mtoa mada.
 

Maelezo yapo kwenye uzi
 
 
Mkuu kwa sasa hivi technology yetu duniani imeenderea, kwa nn tusipange safari ya kwenda kuwachukua hivyo viumbe vilivyotuumba na kuwaleta duniani wakasibitisha uumbaji wao. Hizi novel zingine kama LEGEND OF THE SEEKER.

Tutawezaje kwenda galaxy nyingine ilihali hii ya kwetu yenyewe hatujaitembea hata 001% asilimia?
 
Uzi mzuri. Mtoa mada endelea kutiririsha nondo achana na waliogandishwa akili.
 

Naona Hili Swali Limepitwa Mleta Mada Tujbu
 

Hapo zaman walim wa dini na makadinal waliamin kuwa jua ndilo linalozunguka dunia, kutokana na maandiko. soma biblia :Mwanzo 1:3~5, 14~18. hivo kutokana na maandiko waliamin Mungu kuumba mianga miwili, ambao mmoja humulika mchana na mwingine usiku na pia waliamin kuwa suala la usiku na mchana linatoka na mungu kuweka hii mianga ila sio dunia kujizungusha kwenye mhimili wake/earth rotation

Galileo alianza kuamini nadharia ya Copernican mwishoni mwa karne ya 16. Nadharia hiyo inasema kwamba dunia huzunguka jua, na si jua kuzunguka dunia. Alipotumia darubini yake mnamo mwaka wa 1610 kuvumbua magimba ya angani ambayo hayakuwa yamewahi kuonekana, Galileo alisadiki kuwa amethibitisha ukweli.

Wanatheolojia wa Mahakama ya Kuhukumu Waasi ya Roma walisema kwamba nadharia ya Copernican ?ilikuwa ya kipumbavu, ya kipuuzi na ya uasi, kwa sababu ilipingana kwa njia nyingi na maana ya neno kwa neno ya vifungu fulani vya Maandiko Matakatifu, jinsi wengi wanavyoyaelewa

Kesi hiyo ilianzaje? Galileo aliandika kitabu kiitwacho Dialogue Concerning the Two Chief World Systems ambacho kiliunga mkono nadharia ya Copernican. Mwandishi huyo aliagizwa afike kwenye mahakama hiyo mnamo mwaka wa 1632,lakini alikawia kwa kuwa alikuwa mgonjwa na umri wake ulikuwa karibu miaka 70.

Mwaka uliofuata, alisafiri hadi Roma baada ya kutishwa kwamba angefungwa na kusafirishwa kwa nguvu. Kwa amri ya papa, alihojiwa na hata kutishwa kwamba angeteswa kwa kuendeleza uongo wake huo. hii ni story ndefu sana ila nimeamua kukupa kidogo ili unielewe nachozungumza hapa,

NB: samahani sana Mkuu IZAMA naomba uchukue hayo maneno yote uliyoandika na ujaribu kuyaweka katika sentensi moja inayoleta maana,
 
Last edited by a moderator:
Injili ya wapi hiyo? Nyakati hizi Injili ziko za aina nyingi sana, nyingine za kuchanganya kama hiyo.

Hata hivyo, asante kwa elimu mpya.

Vv
 
Mleta uzi na wachangiaji wote naona mnanichanganya tu.... Aagghh!!!!
 

Haki ya nani nimeganda kama nyamafu! Hapa nakiri kwa kinywa nimeblow mapigo
Kweli mimi sijui kitu kuhusu elimu hizi za unajimu
 
sometimes maelezo ya mshana yanakuwaga na ukweli kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…