Jamii na makabila mengi yanataratibu zao, hii ya kurithi watoto imekaaje?

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
Inatokea mzazi amefatiki, tuseme baba anatokea. Baba mdogo anawarithi watoto kuwapa tumaini la uwepo na baba Yao mzazi,

Wakuu ikiwa baba mdg anakiwa KERO je ukiamua kujua maisha yako, akidai atakulaani inahusu hapa?..
 
Hakuna laana ya kipuuzi namna hiyo.
Hakuna laana kwenye, dhulma, kunyanyaswa na uonevu.
Kama baba mdogo alichaguliwa kuwa mrithi wa mirathi na kuwatunza, na sasa ukisha kua mkubwa na umefikisha miaka 18 and above... kama unaona hamna mahusiano mazuri na baba mdogo, them unaweza kwenda mahakamani kudai haki yako/zenu kama warithi halali wa mali za babaenu.
 
Ujie tu ukiondokewa na mzazi walimwengu ni wanyanyasaji sana.

Wanasema yatima anadeka lkn Kuna maumivu makali sana
 
Back
Top Bottom