Hakuna laana ya kipuuzi namna hiyo.
Hakuna laana kwenye, dhulma, kunyanyaswa na uonevu.
Kama baba mdogo alichaguliwa kuwa mrithi wa mirathi na kuwatunza, na sasa ukisha kua mkubwa na umefikisha miaka 18 and above... kama unaona hamna mahusiano mazuri na baba mdogo, them unaweza kwenda mahakamani kudai haki yako/zenu kama warithi halali wa mali za babaenu.