pesa je feki?Na huko sacos tutatumia majina feki au?
Hivi bazazi mkuu ulikuwa wapi??kumbe kipindi hicho kilikuwa na usajili mpya aka ingizo jipya ukajikita katika kusajili sawa mkuu nimekuelewa.
Nakuunga mkono tupange siku ya kukutana ili tuone kama inawezekama kitu ambacho kitawezekana uoneka mapema hivyo tutakuwa na kika sababu ya kuchukua taadhali.Sio hatari kiongozi...
kuna Moja ilitangazwa sana humu ya dada Zainab Tamim na nmetuma Ten yangu sijajibiwaga mpaka Leo. kwa hyo ni upigaji tuuWahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
yaaaaniii. staki kukumbuka tulivyoshindwa ile ishu.Tulianzisha hapa na tukapigwa na member wa humu we acha ila tulikodi ofisi ufipa kwa miaka 2 bila hata kufanya lolote na jutia ile pesa ningeipiga ulabu kuna member hapa wanacheka maana walijaribu...ila nisikukatishe tamaa ila nitakuwa wa mwisho.
Mobile Traveller
kila la heri, jiandae tu na changamoto ya watu kutohudhuria vikao ila kwenye hela wepesi kutoa.Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
Tunaojua computer technlogy tukiamua kukudaka tunakudaka kwa hiyo hiyo Id fake,hata usijidanganye wwYaani tujuane iwe km magroup ya whatsap ukimuandika vibaya bashite au baba yake wenzio wanakuchoma....!!
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu unadhani watu wote hapa ni km wewe!? Hivi ingekuwa rahisi km unavyodanganya,wangehangaika kuwakamata akina mexence mello ili watoe taarifa zetu??Tunaojua computer technlogy tukiamua kukudaka tunakudaka kwa hiyo hiyo Id fake,hata usijidanganye ww
Post sent using JamiiForums mobile app
Nadhani huko kwenye SACCOS,majina ambayo yanatakiwa yatumike ni yale yakweli,lasivyo USALAMA utadili na wale ambao kwa namna moja au nyingine,walishafanya makosa ya kimtandao humu ndani,nakushindwa kutiwa nguvuni kwasababu ya usiri uliomo humu.